Angalizo:ukienda uwanja wa ndege jnia beba na mawe kwenye gari yako

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
ni mida ya saa sita leo kama movie ya kanumba kija mmoja alipofika term 1 pale airport kumpeleka dadayake .baada ya hapo akaamua kununua tkt ya coastal kwa ajili ya mkewe ilichukua kama muda wa dk 30-40 kijana yule aitwa abdul alipotoka na kukuta gari nyeusi suzuki t657 bky ikiwa imepaki pemben ya gari yake.......

Alipokuwa akiikaribia gari yake gafla ile sizuki nyeusi ikatimua mbio za kufa mtu ...yule kijana alipokaribia akaaona taa za nyuma azipo akaanza kupiga mayowe kama wagombea wa meru wakijinadi mwisho akaingia kwenye garii akaanza kulia...aikutosha baada ya kuamka na kukuta setimila nazo azipo sio wamekwanyua azipo wameondoka na mshikio wake....aliposhuka nje kuanza kuangalia gari akaendelea na machzi loh wanawake awana dogo dada mmoja akawa anaangali akasema hee mbona n lock za ndani huna.......

Jamani nililia kwa uchungu nikhisi gari langu
swali langu likja hivi nani anpasa linda mgari yetu??
Na kwa nini kwenye parking wanadai "park on your own risk""huku watu wakilipa hela
tukiwa tunaendelea na stori za pole mtu mmoja akauliza namba zake za simu akamwambia.. Watu wakaachana tukabaki kama 8..baada ya muda akapigiwa na jamaa mmoja akidai anaitwa sele yuko gerezani akamwambia pole nasikia umeibiwa ??kama unaitaji mzigo wako apigi hiyo namba aje na laki 3 na nusu...jamani ndugu zangu tunaenda wapi ?????

Nimekaa nakuamini wezi wa haya magari wako hapo hapo airport na si kwingineko..iweje mtu ameomba namba na ni mfanyakazi wa airport gafla mtu anampigia aje na cash amemjuaje??hadi kumtaja jina
ndugu zangu wafanyakazi wa airport wezi mmewafuga hapo mkononi ni nyie wenyewe kuamua mtawasafishaje hao leo ni kwa abdu kesho watapiga gari zenu na kujuta .......

Bwana ametoa gerezani wametwaaa huzzuni za abdu ziendelee
pole kijana naamini mungu atakupa uvumilivu na hali kununu nyingine

ushauri
ni vyema sasa kwa kuwa tumejua hawa watu wanakuwa na magari nashauri tuwe tunaweka hata mawe kwenye gari yamkiniyule kaka angekuwa na mawe ya karibu angeweza kabisa kulipata gari maana ilichukua dk kadhaa kugeuka na kutoka alipopaki

mkiwa mnaleta ndugu zenu jitahdini muweke hata mawe kwenye gari incase likiwatokea mnaanza kuwarushia wakiwa wanakimbia hawa maruhani sijui wametokea wapi
polen walizwa
 
ndio maana kuna kwenye mtihani kuna 0%-25%-100% usipoelewa subiri watakaokuja kukueellewesha
mchana mwema lakini
 
Uandishi huu unaonesha kuwa bado files hazijajipanga vyema kumkichwa
OTIS
 
ebu edit ulichoandika wewe! hicho ni kiswahili, ungeambiwa uandike kwa kidhungu si JF inge-crash!
 
Hapo Airport kuna mambo ya kijinga sana.ukipaki vibaya unakuta umepigwa pini sasa jiulize inakuwaje waone umepaki vibaya washindwe kuona unaibiwa kama sio wenyewe ndo vibaka?
 
sio airport tu.maeneo ya sinza,kijitonyama ndio usiseme kila siku kama wanavuna pamba.ipo siku dawa inapikwa.polisi wanawajua.
 
Mkuu Camaradere hebu clarify unamaanisha nini, Je hiyo ndo gari ya hao vibaka au nini unataka kusema maana naona waungwana hawajaona hiyo post yako.
 
Asante kwa taarifa Mkuu, ndiyo mambo ya Dar hayo, unaibiwa kifaa cha gari, halafu unaenda kukinunua hicho hicho Gerezani au Mnadani. Cha kuzingatia ni kwamba mara inapotokea bahati mbaya kwa hao wezi mkawakata katika eneo la tukio, msisite kuchukua sheria mkononi haraka sana.
 
Hivi uko gerezani polisi hawapafahamu??tunaenda wapi hii nchi yetu?au mpaka tuamue kuchukua sheria mkononi????utadhani hakuna waziri wa mambo ya ndani?? hivi hawa mawaziri wanapewa kweli job descriptions???
 
Nirushe mawe inamaana hapo siruhusuwi kutumia manati yangu ya kizungu?
 
nirushe mawe inamaana hapo siruhusuwi kutumia manati yangu ya kizungu?


teeehee teehhhh eee kama ipo tumia but ""own ur own risk""
naipenda huu wimbo kila sehemu own ur own risk
 
naona haka katabia kameshamiri kweli, yani mtu anaiba then dalali anapatikana gerezani, hapo ukisema uliibiwa mtaa gani na namba yako ya simu dakika tano tu ushapata mali zako, cha kushangaza wanatoza gharama kubwa zaidi ya bei halisi ya bidhaa. Kwa sasa sijui watakimbilia mtaa gani as gerezani kushavunjwa. Ndio maana huwa sishangai wananchi wakijichukulia sheria mkononi.
 
Back
Top Bottom