Mkuu wa Polisi Serengeti avuliwa madaraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa Polisi Serengeti avuliwa madaraka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kassim Awadh, Mar 29, 2012.

 1. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Asp Paulo Mng'ong'o aliyekuwa mkuu wa Polisi Serengeti ambaye pia siku kadhaa zilizopita yeye, Afisa usalama Wilaya hiyo Said Musa na askari wengine walivamia hifadhi ya taifa ya serengeti na kukamatwa na askari wa Tanapa amevuliwa madaraka.

  Je,,hii tu inatosha?kumvua madaraka lkn akabaki na cheo chake na wala asifikishwe mahakamani?Anyaway,,sitashangaa ikiwa hata wale waliotorosha wanyama kupitia KIA bado wapo wanadunda mtaani
   
Loading...