nauliza swali hili kwa kuwa nimesikia kuna makampuni ya simu ambayo yapo lakini kama yamekufa au huduma zao hazijulikani sana labda kwa sababu ya ushindani au ni vigezo vya mamlaka ya mawasiliano...
Habari Jamvi.
Leo hii kama mida ya saa Kumi Na Nusu hivi kumetokea ajali mbaya sana iloshirikisha daladala na Lori la mizigo maarufu kama semitrela ama kontena.
Lori hili kampuni ya Bansal...
Leo nilipita hapa Dar Wizara ya Habari kwa mambo binafsi, nikakutana na taarifa kwamba gazeti la Raia Mwema limeandikiwa barua kutishiwa kufungiwa. Nikadodosa, nikaambiwa ni kuhusu makala isemayo...
mtangazaji wa tbc 1,zakaria amemuuliza mkurugenzi wa tcra,ktk kipindi cha tuambie,wanazungumzia kuhusu kikoa(domain name).tz,kuwa kuna mitandao inatumika kukashifu wa2 mbona haifungwi,akasema mtu...
Mtakubaliana nami wana Jf kwamba toka J/nne hakuna update ya mikutano ya Chadema toka A. mashariki, tofauti na huko nyuma karibu kila mkutano tulikuwa tunajuzwa hapa jamvini.
Ndio nauliza ni...
Tafuta ile ya Karla FAYE
Napenda nikupe hongera kwa umahili wako wa kutuletea visa vya kweli vilivyo vuta hisia na kuleta msisimko katika jamii
Big up mkuu!
Kuna kisa kimoja kilivuta sana hisia...
‎'RUKWA SIYO JALALA'
Mkuu Wa Mkoa Wa Rukwa Eng. Stella Manyanya Amesema Mkoa Wa Rukwa Siyo 'Jalala' La Kutupia Watumishi Walioshindikana Katika Mikoa Mingine Na Badala Yake Serikali Kuu...
MFUMO wa ufundishaji kwa kutumia Mtandao wa Teknohama, umeingia rasmi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) na kwa sasa, uongozi wa chuo umeanza mchakato wa kuhakikisha kuwa kila mhadhiri...
Habari wana Jukwaa,
Poleni kwa makali ya mgao wa umeme ambao tunaambiwa haupo japo upo. Leo tarehe 30.03.2012 ni siku yangu nyingine ya kupunuza siku za kuishi ya Birthday, namshukuru sana MUNGU...
mefurahi kumskia waziri husika leo akitamba redioni ya kwamba transformer zilizokuwa zimeharibika zitafungwa mpya hapo kesho.. Jamani watanzia tushafika sehemu siasa ziwekwe kando na utendaji...
Hii ni weekend moja nzuri sana kwani imeangukia tarehe nzuri kwa wafanyakazi wote. Nawatakia kila la heri,ila jamani maeneo kama buguruni KIMBOKA si maeneo mazuri kutembelea.
Pongezi za dhati kwa uongozi wa chuo cha CBE kwa kuonyesha njia kwa vitendo juu ya mavaazi ya wanafunzi vyuooni yanahamasisha ngono zaidi kuliko taaluma.Nadhani WIZARA husika isimamie kwa dhati...
Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya magazeti ya serikali, inayofahamika kama TSN, amekuwa kwenye bila ya mkataba mpaka sasa kwa takribani miaka miwili na miezi kadhaa kwani mkataba wake kwa cheo...
Kutoka huko mkoani Mara,mtoto Samwel Musa yupo hatarini kupofuka macho yake. Amekumbwa na hatari hii kutokana na mateso ya mama yake mlezi ambaye amekuwa akimpaka pili pili machoni kama adhabu...
Kimara muda wote hatuna maji ila kwa wajumbe na vigogo yanatoka muda wote na wanauza ndoo kwa shilingi 100-500/.
Jumapili iliyopita mbunge wetu, Mnyika alikuwa na mkutano Kimara na maji yalitoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.