Sponsorship ya masomo kwa mwaka 2012/2013 katika chuo kikuu cha muis - australia....wahi mapema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sponsorship ya masomo kwa mwaka 2012/2013 katika chuo kikuu cha muis - australia....wahi mapema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jozzb, Mar 29, 2012.

 1. j

  jozzb Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  JINA LA SCHOLARSHIP: Macquarie University International Scholarship
  UTANGULIZI:

  Macquarie University International Scholarship (MUIS) ni scholarship kwa ajili ya wanafunzi wa shahada ya kwanza(undergraduate) na shahada ya pili kwa mwaka wa masomo wa 2012/2013

  NI MASOMO GANI YANAYOKUBALIKA?

  Hizi scholarship za MUIS zinatolewa kwa masomo yote ya chuo kikuu cha MUIS isipokuwa : Business Administration (MBA), Management, Applied Finance, Advanced Surgery, and Surgery
  TAARIFA ZAIDI KUHUSU HIZI SCHOLARSHIP.

  Chuo kikuu cha MUIS kinatoa scholarship kwa raia wa nchi zote isipokuwa Australia na New zealand.

  Ufadhili huu unajumuisha malipo yote ya Ada kuanzia mwaka huu wa masomo wa 2012/2013

  MAELEKEZO ZAIDI << SCHOLARSHIP>>
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  someeni tanzania acheni magumashi ya huko
   
Loading...