Mauaji ya kukusudiwa na police ulanga morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya kukusudiwa na police ulanga morogoro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jotojiwe, Mar 29, 2012.

 1. Jotojiwe

  Jotojiwe JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Jumatano Tarehe 28/03/2012 saa 2 usiku ktk taarifa ya habari kutoka kituo cha television ITV kimetaarifu na kuonesha ndugu, jamaa na wakaz ktk eneo palipo makabur matano ya walio kua wenzao lkn sasa wafu kwa kufyatuliwa risasi ana kwa ana na polisi wa mkoan morogoro, na haija taarifiwa fujo na matumiz ya silaha kwa yeyote aliye pelekewa kifo awali kabla ya tukio, isipokua mkuu wa police kasema ilikua ni ajali tu ya kawaida. Naimani upo uliyetazama hii habari inayohusisha mzozo wa ardhi ya kitanzania kwa mtanzania mwenyewe, labda niulize je umepata maono yapi na hisia zp? Na je kweli kwakufanya hvyo tunajenga nn?
  Asanten wanaJF.
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,203
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Polisi kuua raia ni ajali kama basi lilivyoua wanataarabu. - Francis miti (DC Ulanga)”
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,203
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Nimesikitishwa sana kuona DC anatamka maneno ya kejeli na dhihaka mbele ya damu ya mtanzania?? Aghrrrrr! Hii serikali na watenda kazi ni mzigo sana kwa taifa!
   
 4. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  The other way round should also be true!!!
   
 5. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  MAISHA YA mtanzania YANAKATISHWA KIRAHISI KAMA YA SISIMIZI.

  MNASHANGAA NINI???
  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 6. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  huyu mkuu wa Wilaya ni bomu sijui kwa nini raisi anapuuzia misemo yao as inabidi iwe fundisho kwa viongozi wake wengine
   
Loading...