CCM Vs CHADEMA

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
519
Wadau hv ni kwnn humu JF mmekomalia tuuu ishu za CCM na Chadema?Je ni mradi,mnalipwa,mmetumwa,au ni kuishiwa na fikra maana mpo kama zama za ujima!
 
hiyo avatar yako inakudharilisha maana inaonyesha wewe unavyo wahusudu wazungu nadhani wewe upo zama za utumwa, si heri wanaoishi kwenye ujima wakiwa huru kuliko wale wanaoishi utumwani wakila makombo ya mabwana zao????
 
Wadau hv ni kwnn humu JF mmekomalia tuuu ishu za CCM na Chadema?Je ni mradi,mnalipwa,mmetumwa,au ni kuishiwa na fikra maana mpo kama zama za ujima!

Kujibishana na watoto waliomaliza shule za kata nako ni tatizo. Unashindwa kuelewa jambo dogo kabisa kama hilo. Ngoja uchaguzi uishe uone Chit Chat itavyokuwa juu.

Naogopa kuwa Lusinde lakini huna hoja kabisa.
 
hahahaha nimecheka sana kwa hiyo mkuu ULITAKA UMLUSINDE MASABULI YAKE????
 
Back
Top Bottom