Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JF Hapa ifm hali inakuwa inasikitisha sana maana nikianza na vifaa sahani tunafanya kusubiri kwenye misururu mirefu haya ukipata chakula inakuja ishu ya vijiko yani mnaanza kugombania mpaka basi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni taarifa ya habari sasa hivi,msomaji kasema tumwone Mkapa alivyo hitimisha Kampeni Arumeru' oohoo! Si mara akaibuka Joshua Nasari!
1 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Closed
CCM wameendeleza mikakati yao ya kucheza mchezo mchafu ili washinde uchaguzi wa Meru East. Naendelea kufatilia hili jambo then ntawajuza baadae..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF salam sana, nawakumbusha kuweni makini leo ni April Mosi ni sikukuu ya wajinga huwa inaisha saa 4 asubuhi. Alamsiki
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni katika round about ya bandarini karibu na namba tatu. ilikuwa ikitokea mjini. inavyo onekana dreva kashindwa kukata kona akaingiza gali mtaloni. inavyo onekana kashindwa kukata kona. nmempita...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mfanyakazi wa bandari ya dsm idara ya marine bw. Ole Ngani alifariki dunia juzi 28.03.2012 katika hospitali ya Ocean Road. Mwili wa marehemu utasafirishwa kesho saa 6 mchana kwenda Arusha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hatimaye mwakyembe hali yake kiafya inaridhisha, je atafungua mashtaka au ndio basi ili mradi kapona?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Radi zimeendelea koogfya wananchi kigoma kask 1.mwez wa kwanza iliua mtu mmoja pamoja na ng'ombe na mbuz 2.leo saa sita mchana imeua mwalimu wa shule ya msingi Nyamagana,alikua anakinga maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasiwasi na huyu mkuu wa tanesko ktongoji cha tabata maana kila siku lazima wakate umeme..kutokana na uchunguzi wangu inaonesha kuna demu anaitwa mary kamtosa huyu jamaa wa tanesko ndo maana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni pale ilipokuwa milenium bar. Bado sijajua chanzo ila yale maduka ya karibu mengi yameungua.(muda huu)
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wadau, mimi kama mdau wa elimu na ninayesomesha nimesikitishwa sana na malalamiko kutoka vyuo vya ualimu nchini. Malalamiko haya yanakuja kipindi ambacho waalimu katika vyuo hivi wakiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna costa limepata ajali maeneo ya tengeru.naendelea kufuatilia updates updates ajali imehusisha costa na fuso. Jumla ya majeruhi ni kumi na sita,kuna majeruhi wanne wamepelekwa hospitali ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kuna tetesi za mr. el kuja kurejesha chenji zetu tar.30/4/2012 kupitia harambe ktk kanisa la kilokole tunduma EAGT linalo hudumiwa na pastor Swata eneo la majengo tunduma
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtakumbuka kuwa leo ni mchezo kati ya Coast union ya Tanga na Yanga ya Dsm, mchezo unachezwa uwanjani wa Mkwakwani jijini Tanga. Uwanja umejaa shamra shamra za mashabiki wa timu zote mbili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana wa familia hii hamjambo?.Kama nionavyo mimi hawa jamaa kama hawatabadilisha mabei yao ya vifurushi vyao hawatapata wateja,kwa hasa sisi tulio huku mikoani huduma ya cable unafungiwa kwa mwezi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kampuni ya mafuta ya Oil Com imelipa fidia ya Sh 30 milioni kwa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kudaiwa kusafirishaji maji machafu yenye kemikali baharini...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
ilikuwa ikielekea mjini huku imepakia magunia ya mkaa. sijajua chanzo ni nini lakini inasababisha foleni kwa magari yanayotoka mwenge kwenda mjini na yale yatokayo mjini. askali wa barabarani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hofu ya mauaji yaikumba kesi ya Wakili Mwalle • MMOJA ADAIWA KUFA BAADA YA KUTOA TAARIFA NZITO KESI ya wakili maarufu nchini, Median Mwalle, imechukua sura mpya baada ya wakili huyo kuibua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NIMEFURAHI JINSI REDIO YETU HII ILIVYOPONGEZA KUHSU SWALA LA MAVAZI INGAWA PENYE NANII APAKOSI NNANIINO WALITOKEA VIJANA WACHACHE WAKISEMA NA JE KUHUSU MADAWATI VIPI... NIRUDI KWENYE HOJA NI...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Kufuatia kutoridhika kwa sehemu kubwa ya wadau wa Habari na Burudani hapa JF kuhusu tuzo hizi. Nimemtafuta Masoud na hapa anafunguka: Hahahaha, hao mimi nahisi hawaelewi maana ya tuzo, you...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom