Mtangazaji wa tbc auliza inakuwaje mitandao inaachwa tu kukashifu watu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtangazaji wa tbc auliza inakuwaje mitandao inaachwa tu kukashifu watu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Mar 29, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,200
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  mtangazaji wa tbc 1,zakaria amemuuliza mkurugenzi wa tcra,ktk kipindi cha tuambie,wanazungumzia kuhusu kikoa(domain name).tz,kuwa kuna mitandao inatumika kukashifu wa2 mbona haifungwi,akasema mtu anaanzisha mada na kusema wadau mnasemaje? Ndio wa2 wanaanza kutukana watu.ila prof.nkonya akamwambia kama haikusajiliwa tz inakuwa ngumu,kuifunga,utaifunga tz,lakini kenya itapatikana.
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,953
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Where we dare to talk openly ukikosea unachanwa tu we utangaze habari za ccm tu wakati hiyo station ni ya taifa tukae kimya sisi sio vibaraka kama wewe
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,289
  Likes Received: 2,014
  Trophy Points: 280
  Huyo G Zacharia nadhani hajui ni namna gani jf ina nguvu kuliko hata tbc anayofanyia kazia. Kufungiwa ni suala ambalo gumu labda hajui taratibu za jf. Uzuri ni kuwa nae anatembelea majukwaa mbalimbali,anapata elimu,burudani n.k.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Watu kama Zakaria watauwa TBC. Hawa watu wa TZNIC wameenda kuongoa kuhusu doman lakini mtangazaji anaamua kuuliza vitu vingine kabisa! Na unaweza kuona kabisa ni jinsi gani hao wakuregenzi wa TZNIC walivyokuwa bored na viwango vya chini cha huyo Zakaria. Ni kampuni gani itataka kufanya mahojiano na watu ambao wanakutoa kwenye mambo ya msingi na kukuingiza kwenye propaganda?
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,206
  Likes Received: 3,185
  Trophy Points: 280
  Hivi hii TV si ndio tuliambiwa muda wowote itazima kutokana na ukata... Nitachangia sanda kwa ajili ya kuizika hii TV kwani imekuwa janga la kidunia. Magamba wanawatumia lakini hawatoi kitu
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hii t.v ifungwe tuondokane na mzigo wa kodi!
   
 7. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,120
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Mtu akishatumwa na bosi wake akaulize swali kwenye kipindi hana ujanja.Wewe unadhani kwa uwezo wa Zakaria jeuri ya kuingiza swali nje ya mada kuu ya kipindi atautoa wapi??
  Naona zile thread zimegonga mahala pake hii ni feedback tosha.
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,335
  Likes Received: 4,772
  Trophy Points: 280
  nashindwa kuelewa hata we mkuu umepata wapi nafasi ya kuangalia tbc yan umekosa tv za kuangali..
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  hivi G zakaria pamoja na yule mzee wa kipara anayetangaza asubuhi walisoma shule moja?
   
 10. N

  Nyumisi JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hii forum watu wanatoa maoni yao. Kwa nini yeye inamkera watu kutoa maoni waliyonayo kwa uwazi. Hii nchi inaruhusu uhuru wa kutoa maoni, yeye ni nani kutaka kuminya uhuru huo. Ukiwa kanjanja ni tatizo kubwa.
   
 11. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,245
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Asante sana mkuu umeongea vema.
   
 12. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,260
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Nilisikiliza kipindi hicho hakuna mahala alipoitaja JF, wakati mwingine tusiwafanye watu watoe povu hapa jamvini bila sababu ya msingi
   
 13. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mama rwakata bado unaiandama JF?
   
 14. R

  Rweye JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 13,998
  Likes Received: 2,267
  Trophy Points: 280
  Hawa waandishi wa hivi ni janga la kitaifa pia

  Kweli nimeamini Jf ina viwango kama SS3 katika anga za michezo
   
 15. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi siangalii hiyo chanel-magamba tangu tido aondoke, huyo g. zakaria hata

  simjui, niko kwenye foleni naelekea mabwepande kupumzika, msiniharibie stim
   
 16. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,137
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Kuna katabia kameota mizizi hapa JF yjadili hoja badala ya kujadili mtoa mada,watu wanakashifiwa au hawakashifiwi? Mara ngapi jk,Mwl Nyerere,Mkapa,Slaa,Zitto,mboe,Lipumba viongoz wa dini wanakashifiwa,hili ni jukwaa la wanadam so halikosi mapungufu? Hivi JF ya 2007 ndo hii ya leo? Kuukana udhaifu ni udhaifu mkubwa zaidi na kukiri udhaifu ni ujasir mkubwa,tuchague kuwa majasiri kwenye hili,Nani humu anaweza kujitwika dhamana ya member wote ya ku exercise haki yao ya kujieleza bila ya kuvunja wajib wa kuheshim haki za wengine,hoja ya mwandishi wa TBC ni udhalilishaji wa watu humu JF kama unaunga mkono au kupinga weka hoja sio kutumia escape goat kwa kumshambulia mleta hoja huo ni ulimbukeni wa Demokrasia!
   
 17. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,354
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  Kumbe nae huwa nae anatembelea JF? Ni vizuri.
   
 18. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ....basi mie namtukana ma...."*`'.,"*/Xyake!! akaseme. Hivi bila JF nchi hii tungekuwa wapi? je tungetoa wapi dukduku zetu? Huyu jamaa mjinga aisee! hajui kuwa JF ndiyo imeisaidia CCM kufika hapa ilipo? hajui kama watu tusingekuwa na sehemu huru ya kutoa mawazo CCM wangesitukia watu tupo mitaani? Hajui kuwa JF ndiye mlezi wa wanamapinduzi wa kisasa wa taifa hili? kesho naanzisha maada juu yake nimuanike maovu yake yote ya ki dot. komu!
   
 19. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Duuuh wewe ni mwongo tena umepitiliza..nimewatch kipindi hakuna sehemu ametaja jf isipokua wewe tu ume-make inferences zako mwnyw..
  Alichosema yeye ni mitandao ya kijamii ambapo mtu anapost kitu hata kama hana uhakika nacho na kutaka wadau wachangie hata kama inachafua watu..sasa kama ni jf au facebook au mtandao mwingine ye hakusema specifically ila umejihisi tu..which again raises eyebrows.swali ni,kwann uhusianishe moja kwa moja na jf?Ama kuna ukweli watu mna abuse jf naww ukiwa ni mmojawapo kwa kupotosha hii habari ulopost?
   
 20. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,323
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Kwenye kamusi ya kiswahili ningeomba picha yake iwe pembeni ya neno "Kilaza".
   
Loading...