Nguruwe kila sehemu...lol!!

Hiyo kitu ni tamu balaa! Usipokuwa makini waweza kujikuta unakula kila siku ukaota mavitambi.
 
mboni page not found nini tatizo..

chezea haramu wewe kitu hiyo ni balaa usipime..
 
una shida kubwa sana kichwani kwako wai hospitali haraka.
 
unamaanisha nguruwe nyama ya kuliwa, au nguruwe yako inamaanisha nini bwashee..???!!
 
Back
Top Bottom