Ajali Mbaya Kilala - Arumeru Mashariki

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,995
2,494
Habari Jamvi.

Leo hii kama mida ya saa Kumi Na Nusu hivi kumetokea ajali mbaya sana iloshirikisha daladala na Lori la mizigo maarufu kama semitrela ama kontena.

Lori hili kampuni ya Bansal lenye usajili namba T472 APG lilikosa brakes na kuanza kuwasha taa na kupiga honi tokea sawmill, ghafla likaja likavamia na kuizoa daladala ilokuwa ikishusha abiria kituo cha kilala. Daladala ni ya Kampuni Ya Massama yenye usajili namba T924 BBK.
Mpaka sasa inasemekana ni Abiria watatu walopoteza maisha(Mungu Azilaze Roho Zao Pema).

Huu ni mfululizo wa Ajali nyingi katika wiki mbili hizi kwenye hii barabara kuanzia kwa mrefu mpaka Usa.
 
Kwanza kabisa nitoe pole kwa wote waliofikwa na msiba! lkn why itokee arumeru mashariki tena wkt huu wa uchaguzi? au ndo mambo yetu yale...najua tutasikia mengi!
 
Mzee wa kazi a.k.a Prof Mafupi anarejuvinate mambo make inaonekana mashine zao zinazidiwa na upepo uvumao
 
CCM walipita wakitoka Patandi kwenye Kampeni hata hawakusimama kutoa pole wala kushangaa kilichotokea,
Na lori la TOT lilipita na muziki
 
Back
Top Bottom