Nimefanikiwa Kupunguza Siku za Kuishi tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimefanikiwa Kupunguza Siku za Kuishi tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Elli, Mar 30, 2012.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Habari wana Jukwaa,
  Poleni kwa makali ya mgao wa umeme ambao tunaambiwa haupo japo upo. Leo tarehe 30.03.2012 ni siku yangu nyingine ya kupunuza siku za kuishi ya Birthday, namshukuru sana MUNGU aliniweka hai hadi leo hii, nimeona mengi na amenipitisha katika mengi, magonjwa, shida na taabu kisha akaniinua toka uflame mmoja kwenda mwingine, Hakika namshukuru sana yeye Muumba.

  Ni wengi walitamani sana waione leo, wasiione, walitamani wawe na afya njema lakini wako vitandani je mimi nimempa nini MUNGU hadi niione siku hii? Ni jambo la kushukuru sana

  Nawaombeni tusherehekee pamoja kwa amani. Nawatakia weekend njema kwa kuzaliwa mtoto Elli
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  aaaaaaaaaaagr gharibu! yaani nilijua umekunywa sumu kama smile kumbe ni siku ya kuja matatizoni ndio inakuzuzua...

  heri ya kuzaliwa..
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Hahahaa Mpwa nimecheka hadi basi, kimsingi tangu siku ile ulipozaliwa ndio kifo kilianza kukunyemelea, hakuna tena siku ya kuzaliwa bali ya kufa, kwahio kusema birthday ni mazoea tu, haya asante sana sana Mpwa.
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Nitafute mkuu - Nina Nepi Dazeni 2 natumaini zitakuhusu! BY the way Happy B/DAY 2U!
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Hahhahaaaa nimefurahi kwa wishes zako Mpwa, asante sana sana
   
Loading...