Maji-kimara tunahujumiwa na wajumbe wa ccm

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Kimara muda wote hatuna maji ila kwa wajumbe na vigogo yanatoka muda wote na wanauza ndoo kwa shilingi 100-500/.
Jumapili iliyopita mbunge wetu, Mnyika alikuwa na mkutano Kimara na maji yalitoka kila nyumba usiku kucha!!!!

nahisi pia kuwa huu ni mtandao wa wizi na unawezekana uko mahala penginepo Dar.
 
njoo tandale mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka asbh unakimbia mwenyewe ...pa kulala sio kimara pekee bana
 
Back
Top Bottom