Nimeanza kuelewa wanaposema Tanzania ni nchi yakupigiwa mfano Duniyani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeanza kuelewa wanaposema Tanzania ni nchi yakupigiwa mfano Duniyani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babylon, Mar 30, 2012.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tanzania imejisahau na kusahau vizazi vyake
  [​IMG]
   
 2. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Du yaani dogo amesizi mbaya,na ana mawazo kinoma yaani hapo hajui siku itaendaje, wakati akina muhishimiwa sana wanakula posho za kusinzia bungeni,(MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NDIO HAYA?)
   
 3. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  mlmi nilikwisha waambia kuwa, Tanzania hatuna viongozi ila kuna watawala tu! Kiongozi wetu anayejua tuna kula wapi au tunalala wapi ni MUNGU tu!!!! Tumheshimu huyo,,,
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  ukiangalia viongozi Karibu wote waliopo madarakani sasa ni zao la vijijini, ambao wanajua fika maisha ya huko yakoje, cha ajabu huwezi kuona jitiada zozote zinazofanywa kurekebisha hayo maisha
   
Loading...