Dunia sio mbaya,ila binadamu ndo wabaya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dunia sio mbaya,ila binadamu ndo wabaya.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Mar 29, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kutoka huko mkoani Mara,mtoto Samwel Musa yupo hatarini kupofuka macho yake. Amekumbwa na hatari hii kutokana na mateso ya mama yake mlezi ambaye amekuwa akimpaka pili pili machoni kama adhabu pindi akifanya kosa.Mtoto huyu aliamua kukimbilia mitaani na hatimaye akabahatika kuchukuliwa na kituo cha kulea watoto yatima.Lakini hali ndo kama hiyo,macho yanamuuma muda wote huku akitokwa na machozi.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  polisi na ustawi wa jamii wanajua?
   
 3. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyo hastaili kuitwa MAMA ilo jina ni zaid ya kuwa na kiungo cha uzazi cha kike. WE LUV U MOTHERS
   
 4. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  najua nitashambuliwa kidogo hapa na wana Beijing, ila kiuhalisia naona wanawake ni wakatili linapokuja swala la kulea watoto ambao si wao kuliko walivo wanaume..., jaribu kuchunguza sampuli chache ulizowahi kukutana nazo za malezi ya mama wa kambo, au mama mlezi kama huyo, then jaribu kulinganisha na uleaji wa baba wa kambo au baba mlezi utajua nazungumzia nini... mara nyingi wanawake ni wakatili zaidi.. ila si wote wapo ambao ni wema sana... nazungumzia kiujumla tu
   
Loading...