Ni mbinu za kisiasa au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mbinu za kisiasa au?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiby, Mar 30, 2012.

 1. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Mtakubaliana nami wana Jf kwamba toka J/nne hakuna update ya mikutano ya Chadema toka A. mashariki, tofauti na huko nyuma karibu kila mkutano tulikuwa tunajuzwa hapa jamvini.
  Ndio nauliza ni kwamba tumepotezwa, tumejipoteza au ni mbinu ya kisiasa ya kushinda katika hiki kipindi cha lala salama?
  .
   
Loading...