Katika kipindi cha Pbcloudsfm nimefurahishwa na mada iliyokuwa inajadiliwa iliyohusu vijana wengi wa kiume kupenda kubebwa na mijimama yenye mkwanja,
Ambapo ktk mahojiano nimemsikia Yericko...
Wanabod
Kwanza naomba sana Mod msiunganishe hii thred na nyingine inajitegemea.
Kwakweli nimetazama namna utoaji tuzo kwa waandishi nchini tz ulivyoendeshwa jana usiku,lakini nimeshangaa kuona...
China detained six people on Friday for "fabricating or disseminating online rumours," the State Internet Information Office and Beijing police said, the Xinhua news agency reported.
Chinese...
Ukiwa unaelekea Mjini Ukikaribia Chama. Upande wa Kulia Kuna Lori limewaka moto kichwa chake chote.
Mizigo imesalimika haijaungua.
Huu ni mfululizo wa Ajali za ajabu ndani ya wiki mbili...
Mangi mmoja amekutwa na wafanyakazi wa kampuni ya TBL getini akiwa amedondoka na kulala chali huku akiwa hana fahamu jambo ambalo limezua gumzo machoni mwa watu waliomzunguka huku wengine...
Kwa wale wenzangu na mimi ambao leo walikua wanasafiri toka Moshi kuja Dar wamepata dhahama baada ya nauli kupanda ghafla.
Hii imetokana na mabasi mengi kukodishwa na wizara ya mambo ya ndani ili...
Hivi haiwezekani kabisa kuweka sheria ndogo ya kuthibiti ushafu au mabaki ya vifungashio kwa abiria wasitupe nje ya basi? pamoja na baathi ya mabasi yanayofanya safari DSM TO MWZ AU ARUSHA OR MBY...
Salam wana JF
Naomba msaada wa kufahamu kama ni halali kwa polisi wa usalama barabarani kupewa leseni ya dereva husika pale anapoomba aione
Na je ni halali kuing'ang'ania na kugoma kuirudisha kwa...
Serikali corrupt siku zote hukimbizana na watu wadogo wadogo mabarabarani huko , na kuwaacha wafanya biashara wakubwa wakikwepa kodi--- J K NYERERE
kuna zoezi (batili)...
hivi karibuni nimekuwa nikisafiri mara kwa mara toka DSM kuelekea nyanda za juu za kusini,
nimeona jitihada zinazofanywa na askari POLISI usalama wa BARABARANI (TRAFIC)
jinsi wanavyosisitiza...
Wana jamvi wa Jf hali si hali arumeru lowasa,jauary makamba,pro maji marefu,mkapa hawa kwa uchache ndani ya kufunga kampein
dukuduku langu hivi jimbo hili lina umarufu gani kiasi cha kuweza...
Tangu apate barua ya kuwa aondoke katika taasisi ya chakula na lishe yapata wiki mbili sasa Bwana Ndossi anaendelea kuzura zurura katika maeneo ya taasisi hiyo kwa kisingizio kuwa anafunga...
Kama weye ni bachela, pole sana ila pia hongera kwa kuweza kupangisha na kuacha ugali wa shikamoo kwa yeyote aliyekulea.
Mhh.... embu jiulize hapo unapoishi mpo mabachela tuuu, je muda wa kurudi...
Hivi hizi taasisi na vyama vyama vya wanawake tz imekaaje hii;
` WBA - bank ya wanawake Tz`
` WAMA- wanawake na maendeleo`
` KIWOHEDE- Kilimanjaro Women H.... Development...
HabariLeo wameandika habari ya uongo
Nimesoma habari yenye kichwa cha habari habo juu, kwa bahati nzuri mimi nafahamu vizuri huo mvutano ninasikitika sana kwamba gazeti kubwa kama habari leo...
Live ktk tv JK ndani ya tuzo za wanahabari hakika zitafana sana wana bahati sana wanahabari kupata mtu huyu kwani ni adimu sana kupatikana ktkn na ubize
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.