Weekend hiyo jamani

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Hii ni weekend moja nzuri sana kwani imeangukia tarehe nzuri kwa wafanyakazi wote. Nawatakia kila la heri,ila jamani maeneo kama buguruni KIMBOKA si maeneo mazuri kutembelea.
 
Na ile sikukuu ya waji..a duniani inaangukia W/end hii!
Kuweni makini machalii wangu!
 
Na mimi niliepanga chumba maeneo hayo tena cha uani nitembelee wapi?
 
Back
Top Bottom