Ajali mbaya eneo la kilala arumeru mashariki

kijenge

Senior Member
Mar 9, 2012
179
164
Ajali mbaya imetokea kilala kati ya lory la bansal na hiace muda huu wa saa 10.10 watu kazaa wamefariki.
 
R.I.P! usikute lori lilikua linapeleka watu kwenye kampeni za magamba
 
Kama kawaida yao,washamwaga damu! cku zao zahesabika,pole kwa wafiwa wote,tuko pamoja ktk kipindi hk kigumu!
 
Poleni sana!
Lkn 2kae kimya kwa dk 1 tuwaombee waliotangulia mbele za haki!
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake ribarikiwe! Amina!
 
Sidhani kama kuna mtu aliyekuwa ndani ya haice akapona! Imeburuzwa umbali mrefu naimepondeka sana! Lori la mizigo limebinuka na kugeukia upande. Ajali ni mbaya sana na imenisikitisha sana. Poleni sana wakuu!
 
Mkuu unataka kuniambia kwamba umeishuhudia hiyo ajali ikitokea ama umepita eneo la ajali? na vifodi vya huko kwenu vinajaza watu wengi sana na ukitilia maanani huu uchaguzi mdogo usikute watu walikuwa wamekodishiwa kuhudhuria kampeni. Poleni sana wana wa arumeru na arusha.
 
Back
Top Bottom