Ndugu wana JF Kumezuka ubishi mkali sana hapa mtaani, kwamba kati ya Mkoa wa Rukwa na Mkoa wa Kigoma, wepi wanahaki ya kutamba kifua mbele kwamba wanawazidi wenzao kimaendeleo ktk kada zote? KURA...
Binafsi huwa sipendi mambo ya kuitukana serikali na wanasiasa lakini katika hali ya uchumi ilivyosasa kuna mpango kambambe ushapitishwa na HARUNA MASEBU na wenzake kuwa kila aliyechimba kisima cha...
Wapendwa wanajf,nimekumbuka sana wimbo niliofundishwa na mwalimu wangu aliyenifundisha eng.lang. Darasa la nne mwaka 1984 pale kitanewa p/s kule idodi iringa.TULIKUWA TUNAIMBA'THIS IS A...
Watanzania wenzangu najua mnafahamu kuwa tuna chuo kikuu kipya kilichopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani lakini kulikuwa na ulazima gani kwa rais wetu JK kulazimisha hiki chuo kujengwa kwao,mie kwa...
Ndugu zngu wanajf,nimepigiwa simu sasa hvi nikiwa mbal kidogo na nyumbani,nilishtuka lakn ckuwa na jinc! Nilimpenda lakini mwenyezi Mungu kampenda zaidi,babu niliyekuwa nampenda sipo naye tena...
WAZEE WA SRC:
SRC NI TBC TAIFA
Rais wa afrika ya kusini mh jacob zuma anatarajiwa kuoa mke wa nne Mwisho wa mwezi huu kwa kumuoa mchumba wake gloria bongi.
Gloria anakuwa mke wa nne wa mh zuma...
Katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru, kuna mtunzi ametunga wimbo mmoja lakini umekataliwa kupigwa redioni. Sijui hatima ya aliyetunga huu wimbo lakini umebeba maudhui makubwa tuu hasa katika...
AZIMIO LA ARUSHA
Kwa hiyo basi, Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana katika Community Centre ya Arusha kuanzia tarehe 26/1/67 mpaka
29/1/67, inaazimia ifuatavyo:-
A. VIONGOZI
1. Kiongozi wa...
Habari wana Jf,
karibu MIGAMBA YOTE ambyo bado wapo CCM.
Aircdm tiketi zinaelekea kuisha,wale wote munaosuasua muda ndio huu.Ikifika 2014 hatutakuwa tayari kukubali gamba lolote...
Tarehe 11-04-2012 chama cha wananchi (cuf) kiliitisha maandamano makubwa ya wakulima kuishinikiza serikali kulipa malipo hayo ambayo wakulima wameendelea kusubiri kwa takribani miezi mitano sasa...
British Airways...
248 planes
50 in order(still making)
10 options
Kenya Airways
34 active planes
24 in order
4 options
Tanzania
1 active
0 in order
0 options
Naona bado ukweli unapotoshwa kuhusu umiliki wa eneo la Efatha, Mwenge. Soma hizi data hapa na kama kuna mtu mwenye data tofauti pia aziweke hadharani ili tuzijue na kupata ukweli:
EFATHA...
Wizi huu umekithiri katika mitaa ya Upanga na inahatarisha magari na usalama wa watu.
Jiji na manispaa husika pamoja na polisi hebu kemeeni wizi huu.
Mojawapo ya tetesi ni kuwa kuna wakubwa...
Jana nimejaribu kupoteza usingizi kufuatilia hizi tuzo
lkn nilijiuliza maswali yafuatayo
1 hivi hawa wanaopewa tuzo vigezo gani vinazingatiwa
2 Baada ya wasanii kuzipata hizo tuzo kwa nini...
juzijuzi tulisikia tsunami ingetokea pwani ya africa mashariki,je tahadhari gan ingeweza kuchukuliwa hasa na serikali ukizingatia ikulu haiko mbali sana na bahari,je tungetegemea nn