Hili la TCU kulipisha Tsh 30,000/= kuomba nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu limekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la TCU kulipisha Tsh 30,000/= kuomba nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu limekaaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchokozi, Apr 16, 2012.

 1. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  TCU wanatisha kuomba kujiunga na chuo kikuu lazima ukalipe Benki kwanza TSh 30,000/= kama huna maombi yako hayatashughulikiwa.
   
 2. kalendi

  kalendi JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Ni hilo ni JANGA la taifa !
   
 3. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Hivi vyombo vinavyohusiana na elimu ya juu, vina matatizo makubwa, ifke mahali kama waliopo wameshindwa kuthnk critical, wapishe vijana watakaoweka mfumo mzuri wa kudahili wanafunzi, hv hawasikii kelele za watanzania kulalamika hali ngumu? Hyo elfu 30 tutatoa wp? Na hapo bado ukipata chuo unakumbana na zengwe la bodi.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  wacha wavune
   
 5. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  huu ndo mda wa TCU kufanya biashara!
   
 6. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ..jamani hyo elfu thelathini ni ya miaka yote mitatu mnalalamika nn sasa wakati ht hyo mikopo yenyewe mkiipata hamfanyi linalotakiwa mnalewea na uzinzi tu, wtz kaaaz kweli kweli.
   
 7. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  isitoshe baadhi wanafunzi wakishaona wamepata nafasi ya kuingia chuo hawaoni madhara yoyote kwani wana kila uchu,
  japo ni mtaji wa wanyonyaji.
   
 8. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  hivi huu mchezo wa taasisi za serikali mpaka lini. Yaani hii post imenikumbusha machungu ya mwaka 2006. KAbla ya hapo, serikali iliyokuwa ikiongozwa na Mh.Mkapa ilikuwa inawakopesha hata wanafunzi wa masters *& PhD, basi tukata habari kama mikopo itaendelea, jibu likawa ndiyo. Basi tukalipia gharama za kuprocess mikopo Tsh.10,000/- ili tuende shule. Walipo pata pesa tu, na wakijua kuwa wanafunzi watarajiwa wameshalipa--ndipo wakaja na tangazo kuwa serikali ya JK, haitakopesha dents for postgraduate studies, and we were not refunded--kiendacho kwa mganga hakirudi kanuni hiyo ilitumika.

  naona mambo yale bado yapo, mimi nilipa BODI YA MIKOPO, Ili hakuna 7bu fomu kuuza bei kubwa kiasi hicho. HAPA TZ WALIO KWENYE SYSTEM NEVER Care FOR THE POOR
   
 9. B

  Baby shangazi Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  i think ni nzuri coz utaratibu wa kuomba chuon moja kwa moja ni gharama kulipia fomu, imagine unaomba vyuo vitano labda ili kujihakikishia nafasi na kila chuo gharama ya form minimum 25000 utalipa sh.ngap kwa vyuo vitano?
   
 10. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Zamani ilikua mtu unaomba chuoni direct na kila chuo fomu ilikua elfu ishirini.
   
 11. K

  Kibakamande Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora TCU, hiyo bodi ya*mikopo ndo balaa. inaagiza wanafunzi wafanye applivation wakati matokeo ya kidato cha 6 hayajatoka. unalipa 30,000 na matokeo yakitoka ukawa umefeli ndo basi tena hela yako itakuwa imeliwa! na mbaya zaid idadi ya wanafunzi wanaofeli ni kubwa kuliko wale wanaofaulu
   
 12. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hii,unalipia,benki,gani,in,which,account,number?
  naomba,unisaidie
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Zamani ilikuwa unalipa moja kwa moja, kwa kila chuo peke yake, kwingine 20'000, wengine walichaji 30'000, pia ilimlazimu mtu awe Dar ndio aweze kuomba kila chuo (kwani hata vyuo vya mikoani vilikuja Dar kufanya usaili wao). Sasa pateni picha mtu uko Mpitimbi na huna pesa, I mean mamako hajapewa gawiwo lake la pili la korosho, aloo? Ingekuwa rabsha...
  Fikirieni faida zilizotokana na mfumo huu, off course mkifikiria pia na hasara.
  Sawasawa?
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  No free lunch under the sun.
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  unaenda Nbc unalipia 30000,then unapewa voucher flan hv ambayo utai2mia kufanya registration.over
   
Loading...