Kuna Mbunge anapongeza watumia madawa ya kulevya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Mbunge anapongeza watumia madawa ya kulevya!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gagurito, Apr 16, 2012.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni wale walioamua kuacha na kujiunga katika vikundi ushauri vyao huko Pemba/Zanzibar!
   
 2. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Vijana hawana kazi ya kufanya hao watumia madawa ya kulevya ki ufupi wamekata tamaa na maisha. Hii nchi hailweki kundi lililokubwa ni kama wakimbizi vile ktk nci yako.
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kweli mkuu, huku kitaani kwetu ucpime!
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hapa Unga ltd kuna diwani anauza madawa ya kulevya. sasa kama ndiyo angechaguliwa kuwa mbunge ungetegemea awalaumu?

  Magamba kwa madili feki hawajambo. ili kujua kwamba ccm wanawaabudu wahalifu hebu chekini tu Mtu aliyehukumiwa jela miaka 30 kwa ujambazi wa kutumia silaha anatoka kiajabu ajabu gerezani, na sasa ni diwani wa mererani, bado ccm wanamwomba akagombee ubunge Arusha mjini!
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .

  [​IMG] Kuna Mbunge anapongeza watumia madawa ya kulevya!  Mkuu,
  Vipi unafanya kazi kwenye magazeti ya udaku nini? ... maana heading utafikiri anapongeza wanaotumia kumbe wewe unamaanisha anawapongeza walioacha!

  Sasa wewe unataka watu wakimbilie kunua gazeti lako kwa kichwa cha habari alafu wakianza kusoma ndani wanakuta ... aaagh! .. stori tofauti!

  .
   
 6. N

  Njenjema Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mzee mbona haueleweki?Tumia weledi au ndio kutoka Magazeti pendwa
   
Loading...