Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

FERRY KUWA MAKINI KIGAMBONI Waungwana nimewahi kuibiwa Mara Mbili. 1. Nilitoa 10,000/- nikaambiwa nimetoa 5000. Shahidi Baada ya wiki 3 2. nilitoa 5000 nirudishiwa change Almost napanda...
0 Reactions
1 Replies
758 Views
Hivi kweli hawa jamaa wa ATN wana utaalamu ama wataalamu wa kuwawezesha kuchukua hii kazi ya mabadiliko ya analogy to digital nchini. Mbona majaribio yao hayaonyeshi kama wanaweza? Mpira wa uefa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Polisi 4 wafukuzwa kazi kwa rushwa POLISI mkoani Kigoma imewafukuza kazi askari wake wanne kwa tuhuma za utovu wa nidhamu na kujipatia fedha isivyo halali kutoka kwa raia wa China. Kamanda wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kujaribu kila unachokiona wakati mwingine sio wazo zuri wakati mwingine kama yalivyowatokea puani mke na mume mmoja nchini Urusi ambao waliamua kujaribu style za mapezi za kwenye kitabu cha Kama...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Wapembuzi ya padigmayic shifts wanapenda ku-associate mambo km haya ya kijamii na mabadiliko ya fikra, hasa zinapihusu kutia chamgamoto kwenye fikra zilizozoeleka na kutawala minds za watu. To me...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bweni hilo limeungua baada ya jenereta kulipuka kufuatia kukatika kwa umeme baada ya kimbunga kilichoangusha nguzo za umeme Kipawa jana. shule hiyo iliyoko Buza jijini dar inamilikiwa na Kapteni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Eti linaitwa shirika la nyumba la taifa lililoboreshwa na lenye nguvu kazi mpya. Sioni kama linaendeshwa kwa manufaa ya watanzania wengi, kama nakosea mtanisaidia. Walivyoanza kutangaza kuuza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani kuna kijana mmoja huwa mara kwa mara anashiriki katika kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV. Kijana huyu ni mwanafunzi wa UDSM lakini jina limenitoka na hata last week(Thursday) alikuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Benki ya Posta (TPB) inayomilikiwa na serikali na iliyopo nchini ya uongozi wa wazalendo, imeripoti kupata mabilioni ya faida (3.8bn/-, ongezeko la asilimia 338). Benki hiyo ilikuwa ndogo sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana jamvi!licha ya wanafunzi waliofaulu pasipo kujua kusoma wala kuandika!halmashauri ya Mwanga imeamua kuwapeleka walimu wote wa shule za msingi wilayani kutembelea mbuga ya wanyama ya...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Mvua kubwa iliyoendelea kunyesha Kanda ya Kaskazini tangu juzi tar 20/04/2012 iliyokua ikianza kwa kusuasua na hata kukatisha tamaa kwa wafugaji na wakulima,Sasa imeanza tangu jana kwa kasi ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Greater thinker kwa kila mara kumekuwa kukiibuka mara hili mara lile katika vyuo vikuu lakin cha kushangaza katika hili mara nyingi hawa wanafunzi wanao wazazi lakini hata kama sio wazazi ule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna tatizo limetokea hapa kwa wale walio karibu na tanesco kuna nguzo 10 zimeongezeka naona zimeangukia upande wa barabarani huku kipawa karibu na ile kiwanja tuliodanganywa tunatengenezewa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huwa najiuliza kama wana wafanyakazi wote hao kwa mujibu wa Serukamba na uku wakiwa na ndge moja usikute ni ile ambayo imeanguka KIgoma? Sasa najiuliza wanapokuwa wanaenda kazini wanaenda kufanya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu, We're quite stunned. Our company has been TTCL customer for over last five years, since TTCL introduced the broadband internet services provision in Tanzania. The TTCL technical...
4 Reactions
34 Replies
8K Views
Wakuu heshima mbele, Naomba kama kuna mtu anaweza kunipostia hapa picha zinazoonyesha athari za uchimbaji wa madini Tanzania. Mfano kama una picha za athari za maji ya sumu ya mto tigiti...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kesi inayowakabili aliyekuwa waziri wa fedha ktk serikali ya awamu ya tatu na mwenzie Daniel Yona kwa matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali yetu hasara kubwa,haijulikani ilikoishia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jmn wakuu mnisaidie jina sehemu flani hv, iko baharini (kati ya pasific au Atlantic) ni katikati ya maji halafu eti meli ikipita eneo lile gafla kinatokea kimbunga then hyo meli inamezwa na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
ni tahadhari tu kuwa kichaa cha ng'ombe kimeripotiwa kutokea huko Marekani! kwa wapenda nyama ya ng'ombe hatuna budi kuchukua tahadhari-kuacha ama kupunguza mlo huo, kwani inawezekana na hapa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yahusu polisi kuhatarisha maisha yangu baada ya kushindwa kumdhibiti muhalifu ambae ni jambazi anayejulikana kwa kumlinda na kumpa nafasi ya kunishambulia mara kwa mara na kunisababishia hasara...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…