Chelsea (with 10 men) 3 Bacelona 2: Any Lesson 4CHADEMA to Learn?A

Elifasi

Senior Member
Nov 1, 2010
180
5
Wapembuzi ya padigmayic shifts wanapenda ku-associate mambo km haya ya kijamii na mabadiliko ya fikra, hasa zinapihusu kutia chamgamoto kwenye fikra zilizozoeleka na kutawala minds za watu. To me, natamani siasa za nchi hii zinaweza kujifunza kitu kutoka kwenye resilience ya Chelsea. Fighting back until we get our fair share-even if ni kwa mikutano unayowakera watu, km basi la Chelsea langoni... V!!!
 
Back
Top Bottom