Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Great thinke Leo ni siku ya historia kwa Tanganyika +Zanzimbar utake usitake na ndo maana mmepumzika na hamjaenda kazini TBC1 naona yupo Hassan na Hadija walio husika na kuchanganya udongo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Also i remind all people getting intoxicated by this MEP0 reset my *** thats totally ****. Will work on very old non secured samples. Means none of the samples you do daily. Also MEP0=DIRECT...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Tangu muda mrefu tumekua tunajadili muungano wetu. Wengi wanapendekeza tuwe na serikali mbili, binafsi naona serikali moja ndo suluhisho. Tusikwepe gharama. Wenzangu naombeni mtupie maoni yenu.
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Leo nimeshangaa, kwenye sherehe za muungano hakuna kiongozi aliyetoa hotuba angalau kuelezea chochote mfano mafanikio ya muungano wetu na mambo mengine yanayoamabatana nayo. J.K kaiishia kukagua...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tupo hapa kinondoni hospital tunasubiri polisi waje kuthibitisha! Amekufa baada ya kuingia ndani ya gari lake na dereva ni demu wake! Nawasilisha
1 Reactions
13 Replies
2K Views
CCM sasa inako tupeleka siko mawaziri wote wangoke hakuna wanacho nkifanya wazaili mkuu naye ameshindwa kuonyesha msimamo hatuna imaninaye...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Mfalme Mswat wa swaziland amepokea ndege mpya anayodai kuwa amepewa na rafiki zake wahisani. Mwaka 2002 Mswat alitaka kununua ndege yake binafsi kwa pesa za umma lakin zoez hlo lilishndikana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor leo katika mahakama ya The Hegue atahukumia mbele ya majaji watatu. Kesi hiyo iliyokuwa na mashahidi 100 inamtuhumu bwana Taylor kuhusika na vita vya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kwenye Orodha ya mambo haya au matendo haya wewe haumo basi jua wewe si fisadi bali ni mtu safi!!! Kama hujawahi kununua mtihani ili ufaulu Kama kwenye fomu ya maombi ya kupata mkopo wa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna haja gani ya kusherehekea muungano wakati nchi uchumi wake unazidi kupolomoka? Nadhani hii ya kusherehekea wakati uchumi hauko sawa ni deal ya viongozi kuandika matumizi na posho, vinginevyo...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
:sad: Habari zenu wana JF, Nimatumaini yangu, siku ya leo imeenda vyema , basi poleni kwa kazi za ujenzi wa taifa. Leo katika mizunguko yangu nikakutana na Rafiki yangu ambaye wakati wakujuliana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shukrani kwa serikali angalau kufanya maisha yasiwe magumu vyuo vikuu wakatupa tuhela twa kujikimu. Kuna siku nlikuwa mitaa fulani nikasikia mtu analalamika..hawa wana vyuo jaman hawaridhiki na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi wakati watanzania wanakadiriwa kufikia karibu sasa 45mil. Je bado ni akili kuchukua screpers kutoka CCM na vyama vingine kuja kwenye chama la ukombozi wa nchi au ni bora kuchukua na...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hali ya Bahari ya hindi,Nungwi Huko Zanzibar ni tete kuna mawimbi makali yanayo semekana ni Tornado's.... Tunaendelea fuatilia taarifa kamili inakuja
1 Reactions
158 Replies
15K Views
Nikiwa njiani kurudi ofisini nilikutana na umati mkubwa wa watu wakilifuata kwa nyuma gari la polisi.Hii ilikuwa maeneo ya Ifunda-iringa.Polisi pamoja na umati wote huu walikuwa wametoka kufukua...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Sina utaalam wa graphics lakini ninachofahamu ni kwamba watazamaji wa Clouds TV wasipokuwa makini, soon watakuwa vipofu!
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Jamani huu mji wa Dodoma haupaswi kuitwa makao makuu ya Tz, kwanza barabara za manispaa ni hovyo kabisa, mfumo wa maji taka baadhi ya sehemu tena katikati ya mji ni hovyo kabisa. Stendi kuu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
HALI si shwari ndani ya Bandari ya Dar es Salaam, baada ya kuibuka tena kwa wizi wa kutisha wa vifaa mbalimbali katika magari yanayotoka nje ya nchi. Habari za ndani kutoka Bandarini zilizolifikia...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Hili swala la jk kukumbatia mawaziri mafisadi, ana upendo na wananchi kweli? pinda si ameshindwa kuwawajibisha, eti kisa hana mamlaka(amezibwa mdomo), sasa wabunge hongereni kwa kazi nzuri, ila...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
FERRY KUWA MAKINI KIGAMBONI Waungwana nimewahi kuibiwa Mara Mbili. 1. Nilitoa 10,000/- nikaambiwa nimetoa 5000. Shahidi Baada ya wiki 3 2. nilitoa 5000 nirudishiwa change Almost napanda...
0 Reactions
1 Replies
758 Views
Back
Top Bottom