Naomba kuambiwa jina la sehem flani naskia kuna maajabu


Zuia Sayayi

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
839
Likes
21
Points
35
Zuia Sayayi

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2011
839 21 35
Jmn wakuu
mnisaidie jina sehemu flani hv,
iko baharini (kati ya pasific au Atlantic)
ni katikati ya maji halafu eti meli ikipita eneo lile gafla kinatokea kimbunga then hyo meli inamezwa na maji
hata Ndege zipitapo angani nazo pia huvutwa na maji
Nisaidie jaman jina la hyo sehem
 
papason

papason

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
2,805
Likes
1,342
Points
280
papason

papason

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
2,805 1,342 280

Zuia!


Siku nyingine usiwe mvivu wa google!

Bermuda Triangle, also known as the Devil's Triangle,
A region in the western part of the North Atlantic Ocean where a number of aircraft and surface vessels are said to have disappeared under mysterious circumstances. Popular culture has attributed these disappearances to the paranormal or activity by extraterrestrial beings!

Documented evidence indicates that a significant percentage of the incidents were inaccurately reported or embellished by later authors, and numerous official agencies have stated that the number and nature of disappearances in the region is similar to that in any other area of ocean.

 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,831
Likes
15,309
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,831 15,309 280
Zuia sayansi ya kiini macho.
 
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,508
Likes
3,195
Points
280
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,508 3,195 280
Mbona sehemu kama Bermuda hata sisi tunazo,Nungwi imepoteza wengi
 
Mzalendo Mkuu

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
738
Likes
14
Points
35
Mzalendo Mkuu

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
738 14 35
Waswahil wanasema Kuuliza si ujinga. Bahati mbaya tumefundishwa katika mazingira ambayo ukiuliza unaonekana hujui badala ya kuonekan unataka kuelewa. Thanks, bro, wengi tumenufaika pia.:smile:
 

Forum statistics

Threads 1,273,551
Members 490,428
Posts 30,484,754