CHADEMA chukueni lile jembe la UDSM

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Jamani kuna kijana mmoja huwa mara kwa mara anashiriki katika kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV. Kijana huyu ni mwanafunzi wa UDSM lakini jina limenitoka na hata last week(Thursday) alikuwa miongoni mwa wageni rasmi katika mjadala ulioitwa 'Kupanda kwa gharama za maisha, nini kifanyike?'

My take:
Kwa mwanaJF anayemfahamu vizuri kijana yule atutajie jina lake na details zake kwani mara kwa mara amekuwa akionekana na hoja za nguvu na endapo CHADEMA itatamtumia basi i hope that one day atakuja kuwa hazina kubwa ya chama kwani kijana ni mpambanaji, jasiri sana na mwenye msimamo.
 
Hivi kumbe chama kinaweza kum-approach mtu na kumtaka awe nao? Nilidhani ni mtu anaamua mwenyewe kujiunga na chama flani kwa sababu anazozijua mwenyewe
 
Yes, Chama kinaweza kumfuata mtu kwa malengo fulani. Pia kwa upande mwingine mtu anaweza kukifuta chama na wenye chama wakataa, yote yanawezekana kumfuata na na kufuatwa
 
Maoni yangu kama yule kijana ni mwanchadema basi wamtumie kwani hakika yule kijana ni mpambanaji mzuri sana.
 
Yule ni mdogo wangu wa damu lakin mimi kwa mapendekezo yangu mnaweza kufanya naye kazi lakini isije ikaathiri masomo yake. Na kama sisi tunawapa baraka zote na nadhani siasa ni kitu alichokichagua mwenyewe na anakipenda hatuwezi kumzuia.

Anaitwa Fahmi Matswaily.
 
Yule ni mdogo wangu wa damu lakin mimi kwa mapendekezo yangu mnaweza kufanya naye kazi lakini isije ikaathiri masomo yake. Na kama sisi tunawapa baraka zote na nadhani siasa ni kitu alichokichagua mwenyewe na anakipenda hatuwezi kumzuia.

Anaitwa Fahmi Matswaily.

hongera kwa kupata mdogo alie competent, chadema mchukueni yule kijana kwani ni jembe kuliko hata hao baadhi ya vijana waloleta makundi kwenye uchaguzi wa BAVICHA.
 
au ni wewe mkuu?,anasoma ps na history mwaka wa pili
yule yumo ndani ya chama..
Tupo wengi tu,2015 nagombe udiwani kupitia CDM KWETU PAZURI huko kwetu bukoba.
 
Back
Top Bottom