Tanzania,Tanzania

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
habari wana jamvi!licha ya wanafunzi waliofaulu pasipo kujua kusoma wala kuandika!halmashauri ya Mwanga imeamua kuwapeleka walimu wote wa shule za msingi wilayani kutembelea mbuga ya wanyama ya tarangire hapo kesho,ktk siku kuu ya muungano!ni mbunge,Maghembe na mkurugenzi wa wilaya ndo wanawapongeza walimu hao,kwangu mm hili haliingii akilini hata kidogo,kwa sababu kwanza uchakachuaji wa matokeo,pili kuna walimu wengi wa sekondari wilayani humo ambao hawajaanza kulipwa mishahara na wanaishi kama njiwa tu,sijui great thinkers mnalitazamaje suala hili?
 
Back
Top Bottom