Wezi Wakubwa Ferry Magogoni

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
FERRY KUWA MAKINI KIGAMBONI

Waungwana nimewahi kuibiwa Mara Mbili.

1. Nilitoa 10,000/- nikaambiwa nimetoa
5000. Shahidi

Baada ya wiki 3
2. nilitoa 5000 nirudishiwa change
Almost napanda pantoni wakasema nimewapa noti bandia.

Mm nilikuwa na akili timamu na sikuwahi fanya jambo km hilo.

Wale wafanyakazi Magogoni wote Lao 1.

Jihadhari na Uwizi Shuka kwenye gari kalipe usikubali wakufuate hawaaminiki.
 
...e bana kila mtu anajitahidi kutunisha mfuko wako.tumefikia pabaya aisee.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom