emrgency emergency:Tanesco tunaomba msaada Nguzo 8 zimeanguka njiani kipawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

emrgency emergency:Tanesco tunaomba msaada Nguzo 8 zimeanguka njiani kipawa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 24, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,276
  Likes Received: 5,637
  Trophy Points: 280
  Kuna tatizo limetokea hapa kwa wale walio karibu na tanesco
  kuna nguzo 10 zimeongezeka naona zimeangukia upande wa barabarani
  huku kipawa karibu na ile kiwanja tuliodanganywa tunatengenezewa

  kiwanja cha ndege-terminal 3..msaada unaitajika mabasi matatu yamelaliwa na nguzo za umeme
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,276
  Likes Received: 5,637
  Trophy Points: 280
  Kuna picha tunajaribu kutuma inasema invalid mwenye email aweke tumtumie awawekee
   
 3. m

  makumvi Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kweli kabisa, picha ni muhimu ukaiweka italeta maana zaidi
   
 4. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kipawanguzo.jpg
  Kwa hisani ya IPP Media.
   
Loading...