Nini iwe suruhisho ya migogoro vyuo vikuu Tanzania???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini iwe suruhisho ya migogoro vyuo vikuu Tanzania????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, Apr 25, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Greater thinker
  kwa kila mara kumekuwa kukiibuka mara hili mara lile katika vyuo vikuu lakin cha kushangaza katika hili mara nyingi hawa wanafunzi wanao wazazi lakini hata kama sio wazazi ule usemi wetu wa waTanzania wa kuwa mtoto wa mwenzio ni mwanao pia lakini huwa tukifika hapa kila mzazi huonekana akibeba mzigo wake either utasikia mzazi akikupigia simu na akikwambia beba begi alako njoo nyumbni mpka hari itakapo kuwa nzuri ndo urudi chuo swari langu wanafunzi watarudi majumbni mpaka lini ?? Lakin katika hili pia iko wapi nafasi au sauti ya wazazi kama wakemeee wanafunzi au serikari kama ndo inayo husika mwisho wa siku watoto wa masikin hawa watafukuzwa chuo kyenyeji na huu ndo umekuwa utaratibu na umedumu kwa mda sasa
  mim siwaungi mkono wanafunzi lakn pia siwalaumu kwani wakati mwingne malalamiko na madai yao ni ya msingi hoja yangu iko wapi nafasi ya wazazi wa hawa watoto au ya wazazi wa kitanzania katika hili
  greter thinker hili limekaaje
   
 2. bona

  bona JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  unazungumzia mikopo au? kama ni mikopo shida imejitokeza kwa huu mfumo wa sasa wa kupeana percent wakat kuna watu hawana kitu kbs nk, enzi zetu ilikua so simple hakukua na ubishi kwani ubishi ulikua unamalizwa na marks au division, aliyefaulu sana ndio anapata udhamini wa serikali kwa iyo walikua wanaanza division one, wanakuja two kama serikali pesa bado inayo baadhi ya wenye three wanapata kwa iyo kulikua hakuna ubishi kwani toka tukiwa form six watoto wa maskini tulikua tunajua pona yetu ni kuweka one au two si vinginevyo! nowdays unaweza pata one mtoto wa maskini unapewa 40% wakati mtoto wa tajiri aliyepata two anapata 70% kwa iyo watu wakifika chuo maisha yanakua magumu ndio watu wanaanza kuforce au hata hiyo 40% inachelewa!
   
Loading...