Style Za Mapenzi Za 'Kama Sutra' Zasababisha Wakimbizwe Hospitali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Style Za Mapenzi Za 'Kama Sutra' Zasababisha Wakimbizwe Hospitali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mahmood, Apr 25, 2012.

 1. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Kujaribu kila unachokiona wakati mwingine sio wazo zuri wakati mwingine kama yalivyowatokea puani mke na mume mmoja nchini Urusi ambao waliamua kujaribu style za mapezi za kwenye kitabu cha Kama Sutra na matokeo yake kujikuta wakiita ambulansi.

  Ivan Sokolov na mkewe Valentina walizawadiwa rafiki yao kitabu cha Kama Sutra kinachoonyesha style za kufanya mapenzi na kuamua kujaribu kwa mara ya kwanza baadhi ya style hizo.

  Mke na mume huyo waliamua kujaribu style moja ya mapenzi ya kwenye kiti inayopatikana kwenye kitabu hicho inayoitwa "deck chair" au kwa jina la asili "Indrani".

  Style hiyo inahusisha mwanamke kujipinda kwenye magoti kwenda juu na kupitisha miguu yake chini ya kikwapa cha mwanaume.

  Sokolov, mwenye umri wa miaka 56, na mkewe mwenye umri wa miaka 51 waliwahishwa hospitali baada ya majaribio yao kugeuka kuwa fedheha.

  Kasheshe ya style hiyo ilitokea baada ya mke wa Sokolov kubanwa na misuli ya miguu yake na kushindwa kuikunja au kuinyoosha miguu yake na kusababisha wawe kama wamegandiana huku wamejikunja. ( Kubanwa kwa misuli hutokea pale misuli inaposinyaa na husababisha maumivu makali, huwezi kutumia nguvu kujinyoosha )

  Baada ya Sokolov na mkewe kushindwa kujinasua wenyewe kwa zaidi ya lisaa limoja wakiwa katika hali hiyo hiyo, waliamua kufumbia macho aibu watakayoipata na kuamua kuita ambulansi kwa msaada zaidi.

  Baada ya kusaidiwa na watu wa huduma za kwanza, Bwana Sokolov aliyeonekana kugubikwa na aibu alifanikiwa kujinasua toka kwa mkewe ambaye ilibidi apewe huduma zaidi za kulainisha misuli yake.

  "Unahitajika kuwa fiti zaidi kuweza kufanya style kama hii, hata vijana nao hupata shida kwenye style hii" alisikika mtaalamu mmoja akisema.

  "Ilibidi mjaribu style hii mlipokuwa kwenye umri wa miaka ya 20" alisikika jamaa mwingine akisema.
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Nini Kama Sutra, Kiranga ana Ananga Ranga.

  Pata ushauri wa daktari kwanza kabla ya majaribio.
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  yaani nimecheka sana..wao wanakuja kujifundisha style uzeeni kwenye ujana wao walikua wanafanya nini??aibu nyingine za kujitakia tu
   
 4. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  The Kama Sutra is an ancient Indian text widely considered to be the standard work on human sexual behavior in Sanskrit literature written by Vātsyāyana. A portion of the work consists of practical advice on sexual intercourse.
   
 5. paty

  paty JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  :target::target::target::target::target::target::target::target:
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Did I request a definition?

  I translated some Sutras a decade and a half ago, funny you should try to do some rather basic definition to me.
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hawa wazee noma...inaonekana walikua wanakula kifo cha mende tangu wameoana!
   
 8. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  much knower??
   
 9. h

  happy patrick New Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  washukur mungu uko kwao kuna ambulanc ingekuw bongo magazet ya udaku yangewafaid! bt pia 2siige kila ki2 jaman
   
 10. j

  johnneyDon Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  if anybody wants advice about Kama Sutra than i have original copy of it in english sanskrit with video cd we sell it and training Lso provided by our expert kama gods.
   
 11. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Labda wakati wa ujana walikuwa wakiimba kwaya za kilokole na kukesha.
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Asante mdau kwa kukumbushia huu uzi!
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Wewe mtoto wa Kishua vipi? Usharuka geti?

  Putting a foot in it, there can only be one Kiranga. I simply did not see the point of that definition linked to my post.

  Ni kama vile mie niende kumueleza Mchonga Shakespeare ni nani wakati yeye alitafsiri "Merchants of Venice" kwenda Kiswahili kabla sijazaliwa.

  Much knower ni huyo anaye assume watu hawajui na kuanza kuwapa definition bila kuulizwa.

  Au alivyoona "Nini kama Sutra" alifikiri nauliza "What is Kama Sutra"?

  A little knowledge is dangerous indeed.
   
Loading...