Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Closed
Wana JF kama mnakumbuka wingi wa polisi na Magari ya Maji ya kuwasha yalivyojaa pale Arusha siku mbili kabla ya hukumu ya Lema kwa ajili ya Kumvua Ubunge. Sasa Magari hayo na polisi hao...
2 Reactions
124 Replies
13K Views
Baba mzazi wa Kanumba anaeishi Shinyanga ambae alishindwa kuja msibani kutokana na kuumwa, amezungumza na kusema kwamba sasa yuko tayari kuja Dar es salaam kushughulikia swala la Mirathi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa masmaha 1973 nasikia yumo Babu Seya na mwnae ya kweri haya au upepo unapita..... Sosi...................................
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Heshima kwenu wana Jf. Nilikuwa kwenye foleni asubuhi hii ya leo mara nikaona basi ambalo ni la uda. Sasa wakuu kilicho nikera sana ni kwamba hili gari lipo kwenye foleni ila watu waliopo hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaccm wenzangu! Najua tuna kazi nzito ya kukitokomeza chama mufilisi CDM ambacho kinajifanya ni cha wananchi kumbe ni cha watu wachache wenye maslahi binafsi ya kuatafuna ruzuku na...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Nostradamus ni jina la kilatini alilopewa mfaransa Michel de Nostredame kama ambavyo ndugu yetu Hashim Thabit anavyojulikana leo kwa jina la Hasheem Thebeet. Mtu huyu anakumbukwa zaidi katika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tovuti ya Wizara ya Sheria na Katiba; Wizara iliyochini ya Dr Celina Kombani, www.sheria.go.tz kuna link inayoonyesha picha chafu za ngono.... INANIUMA SANA, SIJUI TZ NI NCHI YA AINA GANI... AIBU...
0 Reactions
141 Replies
80K Views
Nasari apokewa na watazamaji kama mbunge wa Arusha mjini rasmi, Mbunge wa Arusha mjini Mh Kamanda Nasari alieingia kwania ya kuangalia pambano la Yanga na JKT Oljoro aligeuka lulu baada ya kila...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Neville Meena, Blantyre AFRIKA Kusini imetoa msaada wa lita 30 milioni za mafuta kwa Malawi, hivyo kuongeza ‘mashaka’ kwa wanaofuatilia uhusiano unaokuwa haraka baina ya nchi hizo ulioanza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni mara chache kwa vivutio vyetu kupata coverage kwenye habari za kimataifa kama habari. Leo BBC wametoa 'Tanzania's Mahale Mountains National Park' check BBC - Travel - Tanzania?s Mahale...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina hakika mbali na watuhumiwa wa ufisadi katika bunge lililopota, wapo viongozi wengi walioficha pesa chafu majumbani mwao hasa mitaa iliyotajwa hapo juu kama alivyofanya aliyekuwa Raisi wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
naendelea kusikitishwa na kampuni ya startym ambayo inatupatia huduma,leo eneo linalotuzunguka limekata mawasiliano ukipiga customer care wanakuambia chukua remote weka kwenye siginal geuzia...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kuwaasa Tanesco kuleni haraka kwani dawa yaja Angalieni TTCL nguzo ilikuwa ikidondoka wanakusema na hawairudishi mapema Leo wanacholeta wananchi wanakikataa kwanini hamuoni? Je mwasubiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Let me talk this after seeing what mr jk has done to prisoner,I was watching newz and what I saw it was the forgiveness that mr jk gave different prisoner like HIV victim,those women who were...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
anasema pia huwezi kumwajibisha mtu bila kumpa nafasi ya kujitetea
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari, nimeangalia Televisheni leo wakati wa Habari, nimeshangazwa na baadhi ya matangazo mengi yametoka nje ya mipaka hususani Afrika Kusini ila wameingiza maneno mfano haya ya sabuni ya Omo na...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Hivi mpaka wahamiaji haramu wagome huko Mbinga, Songea kwa shinikizo la kurudishwa kwao, Serikali iko wapi? Nani analipia hizo Drip walizotundikiwa hao waliogoma, vitanda na huduma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Suala hili linashangaza, Magari mengi yanayotembea barabarani ni mabovu hasa daladala lakini Polisi wanajisifia kwamba wabakagua magari yote na kuyapa stika ya ubora! Hivi ni kigezo kipi wanatumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:rolleyez: Kijana alifanya ukorofi huo baada ya ku'boreka'. 250 Companies Hacked by One Teenager - ExtraTorrent.com The World's Largest BitTorrent System How do you like it – a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nawaomba watanzania wote mlipo muntafute kilanja mkuu anatafutwa na atuambie mbona ni mtoro darasani,mahudhurio yake yatamfanya afukuzwe shule huyu ni jakaya mrisho kikwet anatokea bagamoyo mara...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom