Naomba picha za athari za uchimabji wa madini kwa wananchi, Nyamongo and Kahama

nyamagaro

JF-Expert Member
Feb 25, 2010
394
225
Wakuu heshima mbele,
Naomba kama kuna mtu anaweza kunipostia hapa picha zinazoonyesha athari za uchimbaji wa madini Tanzania. Mfano kama una picha za athari za maji ya sumu ya mto tigiti, Bulyankulu, etc. Vilevile picha za nyumba za wenyeji wanaozunguka machimbo hayo zitafaa.
Thanks
 

Twigwe

Member
Apr 11, 2012
76
0
Kaka, Kama unafanya research fika site huko nyamongo uone mwenyewe ili uandike vizuri, kuna mto unaitwa tigite unahali mbaya sana, nenda kaka nenda ukaone!!!, utapata na picha za umasikini uliokithiri wa wananchi wanazunguka mgodi huo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom