Bweni la shule ya Brain Trust ya nduguye Anna Makinda lateketea kwa moto

kookolikoo

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,751
595
Bweni hilo limeungua baada ya jenereta kulipuka kufuatia kukatika kwa umeme baada ya kimbunga kilichoangusha nguzo za umeme Kipawa jana. shule hiyo iliyoko Buza jijini dar inamilikiwa na Kapteni Makinda nduguye Spika Anna Makinda. Hakuna kifo wala majeruhi.

Chanzo: Majirani eneo la shule
 
huyo mama mwenye shule ana roho mbaya sana kwa walimu wake, na ni diwani wa huko...anaitwa mama makinda.
 
huyo mama mwenye shule ana roho mbaya sana kwa walimu wake, na ni diwani wa huko...anaitwa mama makinda.

Watu wanasema kila siku juu ya majungu! Je, unahakika kama ni diwani wa huku? Ulimpigia kura au unasikia tu kuwa ni diwani? Fanya utafiti then njoo usahihishe hapa kwenye udiwani
 
Naipata hiyo shule, cousins wangu walipata kusoma pale primary school, iko karibu na Buza Kanisani.
Pole yao, ila km waliipata kwa ufisadi, poa tu iungue.
 
huyo mama mwenye shule ana roho mbaya sana kwa walimu wake, na ni diwani wa huko...anaitwa mama makinda.

Acha kukurupuka wee,nani kakwambia diwani ni huyo mama,mbona watu wengine wanaongea hvyo,aaaargh
 
Ningefurahi kama mungesema makinda alikuwa ziarani hapo shuleni hivyo ameungua vibaya na yuko mahututi...
 
huyo mama mwenye shule ana roho mbaya sana kwa walimu wake, na ni diwani wa huko...anaitwa mama makinda.
Hivi wewe una under estimate the power of JF? huu mtandao una watu pembe zote za dunia hii, Diwani ni mume wa huyo mama na ni Diwani wa kata ya Vituka anaitwa bwana Makinda.

Sasa huyo mwanamke kutumia Surname ya mume wake ndio anageuka kuwa ndugu wa Anna Makinda? jaribu kuwa makini unapoleta post hapa.
 
Back
Top Bottom