Yaani atcl wana wafanyakazi zaidi ya 200 na ndege moja

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Huwa najiuliza kama wana wafanyakazi wote hao kwa mujibu wa Serukamba na uku wakiwa na ndge moja usikute ni ile ambayo imeanguka KIgoma?
Sasa najiuliza wanapokuwa wanaenda kazini wanaenda kufanya kazi zipi?
 
Nilipita pale wiki iliyopita kwa malengo ya kuulizia ofisi za Swiss Air, nilichoshangaa kuwaona wafanyakazi kadhaa pale na milango yote ya offici iko wazi. Nilipoondoka na kufika Swiss Air tofauti ni kuona chumba kimoja na wahudumu kadhaa wakati wana madege ya kimataifa yanayotua Dar mara tano kwa wiki. Hata mfumo wa kiuchumi kupunguza matumizi linawawia vigumu kwa vile familia za vigogo ziko pale?
 
ingelikuwapo option ya 'like' as much as someone wants, ningekugongea 1,000 mkuu
Nilipita pale wiki iliyopita kwa malengo ya kuulizia ofisi za Swiss Air, nilichoshangaa kuwaona wafanyakazi kadhaa pale na milango yote ya offici iko wazi. Nilipoondoka na kufika Swiss Air tofauti ni kuona chumba kimoja na wahudumu kadhaa wakati wana madege ya kimataifa yanayotua Dar mara tano kwa wiki. Hata mfumo wa kiuchumi kupunguza matumizi linawawia vigumu kwa vile familia za vigogo ziko pale?
mkuu, si uulize hata Precisionair wenye ndege kama 10 wana wafanyakazi wangapi!?

Alafu nikamsikia Bw. Chizi akisema hata bila aibu anatamba eti shirika la ndege sio kuwa na ndege tu bali hata 'route' ni utajiri mmojawapo. Mpaka nashangaa nchii hii ina bahati mbaya kiasi hiki!

walikuwa na ndege moja hiyo ndege mojA YENYEWE IMESHADONDOKA ..SASA SIJUI UNAONGELEA NDEGE GANI NYINGINE ..
 
Labda kama ni ndege ya asili aka ungo.
Kwa sasa atcl haina ndege ila yapo mabaki ya ndege.
Kuishi nchi hii na kujua kinachoendelea ni maumivu sana, yataka moyo kwa kweli.
 
Ushaambiwa shirka la ndege sio wafanyakazi wala ndege bali cheti cha kuruhusiwa kufanya biashara aka aoc tatizo nini wewe kodi ipo nini tatizo na ajira zinaendelea kama kawa wakati ndege imelala njoo kunduchi kuna bar inaitwa ""who told you"upumzike
 
Kazini wanaend kusaini ili mwisho wa mwezi wapate mshahara na kuwezesha mishahara hewa maana office zikifungwa mishahara hewa haina nafasi jibu ndo hilo mkuu wala usiumize kichwa kufikiri zaidi
 
''Tumeagiza dreamliners za kutosha'' alisikika Bwana Chizi

dreamliner.jpg

Boeing 787 Dreamliner

Role Wide-body jet airliner
National origin United States
Manufacturer Boeing Commercial Airplanes
First flight December 15, 2009
Introduction October 26, 2011, with All Nippon Airways (ANA)
Status In production, in service
Primary users All Nippon Airways/Japan Airlines
Number built 18
Program cost US$32 billion (Boeing's expenditure)
Unit cost 787-8: US$193.5 million (2011)
787-9: US$227.8 million (2011)
 
ATCL wana ndege nzuri.
 
Huwa najiuliza kama wana wafanyakazi wote hao kwa mujibu wa Serukamba na uku wakiwa na ndge moja usikute ni ile ambayo imeanguka KIgoma?
Sasa najiuliza wanapokuwa wanaenda kazini wanaenda kufanya kazi zipi?

IFUATAYO NI MIPANGO YA WIZARA YA MAWASILIANO NA UCHUKUZI KWA BUDGET YA MWAKA 2011/2012

  1. WIZARA KUPITA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA iMEAGIZA NDEGE 20 MPYA AINA YA BOEING DREAMLINE ZITAKAZO GHARIMU DOLLAR ZA KIMAREKANI 55.2 BILION
  2. WIZARA IMEINGIA MKATABA NA KAPUNI YA CHINA WA KUJENGA VIWANJA 10 VIPYA VYA KUTUA NDEGE KUBWA KWA GHARAMA YA USD 35 BILION

BAADA YA KUKAMILIKA MIRADI HII WIZARA ITAAJIRI WAFANYAZI WAPYA 200,000.

Teh teh teh
 
ingelikuwapo option ya 'like' as much as someone wants, ningekugongea 1,000 mkuumkuu, si uulize hata Precisionair wenye ndege kama 10 wana wafanyakazi wangapi!?

Alafu nikamsikia Bw. Chizi akisema hata bila aibu anatamba eti shirika la ndege sio kuwa na ndege tu bali hata 'route' ni utajiri mmojawapo. Mpaka nashangaa nchii hii ina bahati mbaya kiasi hiki!

mkuu, hata hesabu za darasa la kwanza kwa kwao ni ngumu, nasikitiswa sana kuona serikali inatoa pesa kwa hawa jamaa kisa "national carrier" watu walianza na ndege 10 leo wana moja na hawawez kulipa salary.
nadhan tuna mambo mengi ya msingi zaid kuliko wat so called "national carrier"
 
Back
Top Bottom