Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unazijua hizo sababu? Stay Tuned Source:ITV
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inasemekana mh. Mbunge Komba amekuwa na mahusiano kimapenzi na "LULU" kwa muda mrefu. Kama kweli Lulu hajafikisha miaka 18 na shule kakatiza, je inakuwaje wanaume hawa 'wakubwa' kuachiwa hivihivi...
3 Reactions
94 Replies
14K Views
John Heche Unafiki wa wabunge wa ccm umedhihirika leo waliongea kwa hisia za kinafiki na kujifanya wanapenda nchii kumbe wanapenda matumbo yao na chama chao, hakuna aliejiuzulu sisi tutakwenda...
11 Reactions
74 Replies
8K Views
ameletwa hapa dar kwa ajili ya sherehe za Muungano, lakini cha ajabu wanajifanya kujua kuliko wazawa. watu wenyewe hawana hata miezi mitatu mtaani wanaleta kibase. Nahofia wakishapata hela za...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, nimeona niwajuze habari hii ili kwa yeyote mwenye mapenzi mema na mwana JF mwenzetu aliyetangulia mbele ya haki marehemu REGIA MTEMA kuwa. chama cha walemavu tanzania CHAWATA kesho tarehe...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Hivi wadau haiwezekani kupiga kura ya kutokuiamini SISIEM? Maana mi sioni njia nyingine.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ng'ombe 20 wamekufa baada ya kula majani iliyopigwa dawa na mwekezaji mmoja wilayani Monduli, pia watu zaidi ya 38 wamelazwa ktk hospital ya wilaya baada ya kula nyama ya ng'ombe hao, wanyamapori...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari wana Jukwaa. Naomba kwa yeyote mwenye Address ya Jeshi la Magereza ofisi ya Segerea anipostie hapa. Please naomba sana!
0 Reactions
4 Replies
987 Views
Tue, Apr 24th, 2012 Tanzania | Tue April 24th 2012 Mr Zitto Kabwe The Deputy Leader of Official Opposition in the Parliament, Mr Zitto Kabwe, has presented a petition to the Speaker of the...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
One of my best program in ma smart phone has been huckerd by the fakaz
0 Reactions
0 Replies
711 Views
The human body has suffered a lot of modifications due to the changes in climate. Thus, scientists tried to draw a picture on how the human is expected to look in the future. The body is...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Serikali yetu kupitia wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi haina nia ya dhati kumaliza tatizo la maafisa ugani katika sekta ya uvuvi. Hali hii inasababishwa na kupandishwa kwa ada ya vyuo vyake...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Nilikua nauamini na kuutegemea mtandao huu wa vodacom m~pesa ila kwa siku hizi 2 umenifanya nikose imani na wamenisababishia usumbufu ambao sijui nani atanilipa nimehamisha fedha kwenda kwa wakala...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Nahisi hasira za Wadanganyika hazijatosha kabisa, nilihisi zimefikia kiasi cha kufanya jambo lakini kwa hili nimegundua bado kabisa. Nasema hivi kwasababu sikutegemea kabisa kwa ufuska wote huu...
17 Reactions
297 Replies
23K Views
mwekezaji Abraham wa Monduli anyunyuzia dawa /sumu kwenye majani iliyosababisha ng'ombe kadhaa kufa, na watoto 38 walazwa, baada ya kula nyama hizo ya ng'ombe . Pia inasemekana swala na punda...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani wapendwa nimemwona mh wetu rais wa zamani wa zanzibar mh salmini amour akiwa anaongozwa na kifimbo hakika nikahuzunika sana sana nilipouliza jamani kuna nini ndipo nikajuzwa maskini haoni...
1 Reactions
104 Replies
20K Views
Najiweka wazi juu ya mahaba ya dhati kwa chama chetu pendwa.Kwa wanaoguswa na chama chetu karibuni!
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Eti kama timu yako imefungwa mabao matano bila Mpaka Dakika ya 89. Ukifanya substitution inasaidia? Moral of the question: Zile ahadi za raisi zaidi ya 100 zitatekelezeka katika utendaji kazi wa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana JF naomba mnijibu kwa anayejua, kwamba nani mmiliki haswa wa chuo cha dodoma? Je kuna uhusiano wa chuo cha Dodoma na uuzwaji wa TWIGA na wanyama wengine nchi za kiarabu?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Heshima kwako Mkuu! Jana nilianzisha thread hapa JF kuhusu wanachama/wafuasi wa CDM watokao/wanaoishi wilayani Lushoto. Kwa bahati nzuri mafanikio yameanza kujitokeza kwa kupata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom