Ving'amuzi na ATN | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ving'amuzi na ATN

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiby, Apr 25, 2012.

 1. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli hawa jamaa wa ATN wana utaalamu ama wataalamu wa kuwawezesha kuchukua hii kazi ya mabadiliko ya analogy to digital nchini. Mbona majaribio yao hayaonyeshi kama wanaweza? Mpira wa uefa leo kupitia hawa mawakala ATN ni kichekesho.
  .
   
 2. M

  Mboerap Senior Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kichekesho gani? Fafanua na sisi wa mikoani tujue
   
Loading...