Imezoeleka kila kukiwa na sherehe za kitaifa, basi pongezi za sherehe hizo hutumwa mojakwamoja kwa rais hata kama hana uchungu na taifa husika! Iwe ni tukio la kusikitisha au kufurahisha likiwa la...
Ujumbe wa simu wanausambaza kwa wazanzibari wenzao kutoka kwa 'JUMUIA YA UAMSHO NA TAASISI ZA KIISLAM'' kuwa leo tarehe 25 april usiku wa kuamkia kesho watakuwa na mkesha ikiwa ni dua kubwa usiku...
Wadau nna wasiwasi kuwa hapa tunataka kuja kupigwa changa la macho.Sheria ya marekebusho ya kupata katiba mpya ulijadiliwa Bungeni kwa maslahi ya taifa .Hii ripoti iliyokuwa ikimchunguza ndugu...
Nimekuwa mpenzi mkubwa wa gazeti la Mwanahalisi.
Lkn nimeshtuka muda wa miezi hii michache kuona gazeti hili limekosa mvuto kwa wasomaji
Habari nyingi za front page sasa zinaonekana zimekosa...
lICHA YA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOAINISHA UFISADI LUKUKI WAHISANI WA TANZANIA AU DEVELOPMENT PARTNERS KAMA WANAVYOPENDA KUJIITA WAMEFUMBIA MACHO UFISADI.... TAARIFA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI WA...
Jamani nilikua na download music nililivyomaliza nikataka kuplay nyimbo zote zikagoma mpaka video haziplay kbs, pia hata ring tone ya nyimbo niliokua nimeweka imebadilika na kuita kwa ring tone...
ndugu zanguni kama kuna kampuni inaendeshwa kihuni basi kampuni ya mafuta ya lake oil haina mfano.kampuni hii licha ya kukosa utaratibu maalum wa kazi hali inayoonyesha haina uongozi wenye akili...
Bila kupoteza wakati naenda moja kwa moja kwenye mada
Kuna aina kuu tau za propaganda zinazotumiwa na wanasiasa karibu kote duniani hasa Tanzania
White propaganda.. ambapo atakachokuambia...
Imar Kama Chadema.
sio Mnafki Kama Mkapa
jasiri kama Lema!
Ni Profesa Kama Lipumba Ila Sinuk Kama Kimba
Mwerevu Zaidi Makamba..
profesa Kam Safari
Mshindi Kama Nasari.
popote Twende...
KWAMBA ufisadi wa mabilioni ya fedha za walipa kodi nchini umesambaa kila sehemu katika Serikali, idara zake na mashirika ya umma sasa ni siri iliyo wazi. Baada ya miongo mingi ya viongozi wa...
Ni hisia zangu tu, nikiwa msikilizaji mzuri wa kipindi hicho naanza kupata hisia huenda gazeti hili limesusiwa kwani ni takriban siku tatu mfululizo limepigwa kando ktk uchambuzi wa magazeti. Mara...
Namnukuu Mbowe " sisi Chadema ni kama Barcelona tunapanda kushabulia wote, tunapiga kiungo cha kati na tunarudi kulinda goli kwa Pamoja".
Najiuliza msemo huu utaendelea kutumika kwa sasa au...
HII NDIO FRONT PAGE.
NDIO INAYOUZA GAZATEI.
LICHA ya tambo zilizotolewa na serikali kwamba ingetoa maamuzi magumu dhidi ya mawaziri waliotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yao na kulisababishia...
ADVANTAGES OF BEING SINGLE:
1. You can sleep well
2. You can save more time & money
3. No missed call at midnight
4. No need to activate cheaper call rate scheme
Peopleeeeeees! Wiki kadhaa za karibuni nilikua kila nikifungua ukurasa huu nakutana na habari za diwani,wenyeviti na wanachama wa CCM wahamia CHADEMA! VP mavuno yameisha au?
Ndg Watanzania wezangu,sasa ni dhahiri kwamba umasikini umetamalaki miongoni mwa jamii na hakuna mwingine wa kumlaumu tofauti na viongozi na serikali legelege na uongozi uliopoteza mwelekeo.Je ipo...
Huwa najiuriza baada ya itv kupata zile comment katika vile vipima joto majibu yake huwa yanapelekwa wapi(kwa watendaji gani na kwa hatua gani?)
au ni kuwa sumbua watanzania tu na kama ni hivyo...
Kwa kile tunachokiita vuguvugu la mabadiliko Jumapili tar 29/04/ 2012 sa 8 mchana kutakuwa na mkutano Mkubwa katika Kitongoji cha Nkwini kata ya makanya wilaya ya Same ambapo watasimikwa mabalozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.