Leo nilisoma kwenye gazeti moja
Aibu gani hii jamani,yaani miaka 50 ya uhuru Shirika la umeme Tanesco bado wanawapatia wananchi 18%ya umeme tu tangu lianzishwe,ati wanasema ifikapo 2015...
Kumetokea ajali maeneo ya Ruvu baada ya basi lililokuwa linatokea Mbeya linalojulikana kwa jina la Ilasi kugongana uso kwa uso na lorry lililobeba unga la Azam lililokuwa linatokea DSM...
Nimeingia kutafuta data na updates ya kabineti ya Tanzania ..nimekuta hakuna kitu ..sijui kila siku wanavyoendaga kazini na kukalia makompyuta yao wanafungua nini , ku badilisha tu data ni kitendo...
Mara nyingi naangalie Tv za majirani ie NTV,CITIZEN, KBC UBC etc mbona wao hawana habari za kitanzania kama sisi unavyojikomba kwao tuna matatizo gani? I hate this au nyie mnaona ni sawa, mimi...
Leo ni miaka 16 imetimia sasa tangu kutokea ajali mbaya ya meli ya MV BUKOBA,ajali hiyo ilimpoteza kaka angu kipenzi aliyekua ndio kwanza ameanza ajira ktk jeshi la jwtz,iliniuma bcoz ndio...
nimeonelea baada ya kimya kirefu niseme yaliyomoyoni.
Pamoja na juhudi tunazofanywa sisi viongozi kuleta amani ndani ya wanahabari kilimanjaro kuna wengine ambao hawapendi maendeleo hayo hivyo...
nchi yetu sote walio na vyama na wasio na vyama so katiba mpya iguse maslai ya wote mm ni mtu huru ambaye sina chama chochote na sitaki kuwa na chama bali naipenda tz kama ninavyoipenda roho yangu...
Ni ndani ya mji wa ikwiriri hapa rufiji,kuanzia jana alfajiri wakulima (wandekereko) wakilipiza kisasi kwa wakulima(wasukuma) kwa madai kua mkulima ameuwawa na msukuma.Chakusikitisha,wakulimu...
Habari Wanajamvi,
Katika kile kinachoonekana kuna watu wanatumia utaalamu wao kuziharibu hizi harakati za CDM za kuunganisha umma kupitia mtandao wa facebook, kuna hili tatizo la ku-induce spam...
Angel Bonconsil
Na Habel Chidawali, Dodoma
WASWAHILI husema, maisha ni safari ndefu na kuongeza kwamba katika maisha kuna milima na mabonde ambayo binadamu huyapitia kabla ya kuyafikia mafanikio...
kilasiku nikizunguka mitaani nasikia freemasoni, free masoni
Ukweli ni kwamba ndugu zangu wapo viumbe wamevamia jamii yetu wanawatia watu ujinga, wanaleta maneno ya ajabu lakini ukweli ni kwamba...
kuna kitu nimegundua kwamba matumizi ya bangi yameongezeka sana hapa nchini, tofauti na zamani ambapo vijana ndio walikua watumiaji wakubwa wa kilevi hicho sasa hata watu wazima wenye kazi za...
Wakuu tuliambiwa kwamba makamanda wakiongozwa na Lema, Millya na wengineo watakuwepo Kanda ya ziwa, ila naona kimya. au ndo Polisiccm wameisha piga marufuku?
Naombeni mnisaidie katika hili, je? CCM ina-wakaguzi wa ndani (internal auditors)? Ina-mdhibiti na mhakiki mali za chama? ina-wahasibu qualified?
Hii ni kuanzia gazi ya chini kabisa hadi ngazi ya...
jamani tbc1 inaelekea wap?, kipindi kile Tido Muhando hupo madarakani, vipindi vilikua vizur kwanzia vya burudani habari, michezo kama kuonesha mechi mbalimbali, lakini kwa sasa imepoteza mvuto!
Hebu tujaribu kujiuliza kidogo. NI kwanini watanzania wengi tukiulizwa tunasema tunajua lakini ukweli ni kwamba hatujui, au tunajua kiduchu tu?
Ni kwanini watanzania ni hodari kusifu wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.