Chadema facebook pages - kuweni makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema facebook pages - kuweni makini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WA-UKENYENGE, May 21, 2012.

 1. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Habari Wanajamvi,

  Katika kile kinachoonekana kuna watu wanatumia utaalamu wao kuziharibu hizi harakati za CDM za kuunganisha umma kupitia mtandao wa facebook, kuna hili tatizo la ku-induce spam kwenye hizi timeline za Chadema kwenye facebook. Ukianza na Chadema Mwanza Facebook Page, kuna picha za ngono ambazo sidhani kama ni administrator wa hiyo page ndo kaziweka.

  Hivyo basi, Chadema kitengo cha habari pamoja na wale wanaozisimamia hizi Facebook Pages zipitieni kila wakati na saidianeni kuziweka hizi Facebook pages clean.

  Ahsanteni.
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  WA-UKENYENGE nimeona pia. Sijui account imekuwa hacked au mtu kaweka makusudi?
  Chadema needs to remove it as soon as possible.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu EMT, nimekutana nazo kwenye timeline yangu kama 30 hivi, nikajaribu ku-unsubscribe from post lakini wapi, nikaona isiwe tabu nikajiondoa kwenye hilo group. Sasa nilipotulia nikaona huenda hii ni mbinu za watani wa jadi kutaka kuupotosha umma.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kama una-unsubscribe na inagoma huenda ikawa spasm. This fb is getting out of hand, watu wengi wamepostiwa hizo pics kwenye profiles.
   
 5. Fredrick Ishengoma

  Fredrick Ishengoma Verified User

  #5
  May 21, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Au ni vijana wa nepi wapo kazini?!!
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Thanks Mkuu for very useful details.
   
 8. javascript

  javascript Senior Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kuna facebook applications ambazo zinakuwa na uwezo wa kupost status on your behalf, sasa hawa hackers wanafanya kamchezo kwa kutengeneza application nzuri then baada ya muda wanabadilisha matumizi kwa kuitumia ile app kupost scam na vitu kama hivyo.
  inatakiwa kujihadhari sana na apps za fb, mimi nime_block zote hakuna cha farmville wala nin
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kwa mtu mwenye uelewa ni rahisi kujua, lakini kuna watu ambao wakiona tena ni page yenye kutembelewa na watu wengi basi inakuwa utata. Nadhani hawa ma-admnistrator wanaoanzisha hizi pages wablock inshu zote zinazokuwa hazina lengo lililokusudiwa tubaki siye tunaopambana na xxxyyy-ville.
   
Loading...