nchi yetu sote walio na vyama na wasio na vyama so katiba mpya iguse maslai ya wote

Jun 3, 2011
5
0
nchi yetu sote walio na vyama na wasio na vyama so katiba mpya iguse maslai ya wote mm ni mtu huru ambaye sina chama chochote na sitaki kuwa na chama bali naipenda tz kama ninavyoipenda roho yangu so wanasiasa ndio walio ifikisha nchi hapa tuwenaomakini wakubwa nawachukia wanasiasa
 
Kama unaipenda kama uipendavyo roho yako umechukua hatua gani ktk hawa wezi wanaotubia na sheria kushindwa kuwa na meno juu yao!? Maana najua mtu anaeipenda roho yake akiona yupo shm anayo roho yake inaweza kutoka huwa anajitahidi kuikimbiza ili isito, sasa umefikia ambayo roho ya nchi hii inataka kutoka kutokana na wizi wa rasilimali zetu na maovu mengineyo mengi
 
Back
Top Bottom