ATC kuongeza ndege ya pili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ATC kuongeza ndege ya pili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, May 21, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,632
  Likes Received: 11,560
  Trophy Points: 280
  ATC wameshaanza mchakato wa kuongeza ndege ya pili ndani ya wiki tatu hadi sita.
   
 2. bona

  bona JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,793
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  ya kwanza ni ipi? kuwa muwazi kuongeza as in kukodi au kuongeza kwa kununua?
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,632
  Likes Received: 11,560
  Trophy Points: 280
  itakuwa ya kukodi ila yenye kuipeperusha bendera ya nchi.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,632
  Likes Received: 11,560
  Trophy Points: 280
  tulikuwa hatuna hata moja ...hio helcopta tuliyokuwa nayo ilidondoka huko kigoma
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,627
  Likes Received: 3,131
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kwa kukodi ndege hawa hawajambo sijui lini watanunua ndege yao.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,296
  Likes Received: 4,266
  Trophy Points: 280
  waongeze tu hata ndege kumi, mradi mwisho wa siku tusije sikia kashfa kuwa kuna watu wamekula cha juu au mikataba mibovu...
   
Loading...