Uzembe mkubwa serikalini(webiste) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzembe mkubwa serikalini(webiste)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, May 21, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,508
  Likes Received: 19,922
  Trophy Points: 280
  Nimeingia kutafuta data na updates ya kabineti ya Tanzania ..nimekuta hakuna kitu ..sijui kila siku wanavyoendaga kazini na kukalia makompyuta yao wanafungua nini , ku badilisha tu data ni kitendo cha ku kopy na ku paste lakini hawataki..i wonder... wakifukuzwa kwa uzembe wanakuja na mistari ya bible utafikiri ni wahubiri.

  source:Official Website for The Government of Tanzania
   
 2. Companero

  Companero Platinum Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,508
  Likes Received: 19,922
  Trophy Points: 280
 4. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa ufahamu wangu si kila data itakaa kwenye website,km una ihitaji ni vema ukawasiliana na ofisi husika then naamioni watakupatia
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Tabu kweli nchi hii........

  Hata mabadiliko ya mawaziri ni data isiyoweza kupatikana kwenye website?
  :smash:
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,508
  Likes Received: 19,922
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo inabidi nimpigie waziri husika simu ili anitumie ama atanitajia ama ? manake e mail hawawezi kujibu ama labda nao hawajui majina kamili ya mawaziri wateule.
  ony in Tanzania
   
Loading...