Freemasoni ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Freemasoni ni nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tuambiane, May 20, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. t

  tuambiane New Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kilasiku nikizunguka mitaani nasikia freemasoni, free masoni

  Ukweli ni kwamba ndugu zangu wapo viumbe wamevamia jamii yetu wanawatia watu ujinga, wanaleta maneno ya ajabu lakini ukweli ni kwamba viumbe hawa tunawaamini na kudhani wanafanya miujiza lakini ukweli ni kwamba hawana uwezo wa kufanya miujiza kama tunavyodhani bali wanauwezo wa kuingia mwilini mwako wakakulewesha wakakujengea taswila za uongo ukadhani umeona vitu vya ajabu.

  viumbe hawa wako makanisani wakijifanya wanatenda maajabu huku wakiweka majina matakatifu mbele kumbe wanatuloga wenyewe wanadamu tungewajua wala tusingewakaribisha.

  leo hii unaona mtu kaibuka mitaani anahubiri injili anafanya miujiza. ukweli wengi wanavamiwa na viumbe wasiowajua wanawaambia maneno ya dini wanaamini. kwanza wanawatesa hawa watu kama kuwaharibia kazi,mifumo ya maisha alafu wanaanzisha makanisa wakidhani wanahubiri injili na yesu anafanya miujiza.

  viumbe hawa wakisha weka kanisa wanazunguka mitaani wakisoma vichwa vya watu na kubaini stori zako humo wanaharibu maisha yako wakisingizia mizimu, wachawi,ili mradi upate stori za kuamini ndio tatizo na uwakimbilie wakusaidie kumbe ndio wao.

  haya maombi ya aina mbalimbali yanaibuka kila siku yanatoka wapi? waulize wanaokuwa makanisani wanasema kuna mtu anatatizo fulani wanajuaje? ama wanaongea navyo au vinawaletea mawazo maana hawa mashetani wanauwezo wa kuleta mawazo katika kichwa cha mtu kama wanavyofanya kwa waliochanganyikiwa wakawa wanaongea mambo ya ajabu.

  mtu alikuwa yuko kanisa fulani biblia anaisoma kila siku hawezi kukalili hata mstari mmoja baadae anakumbuka kila mstari na tarehe aliyoingia dini. ukweli hawa viumbe wanaingia vichwani mwa watu na kukaa humo.

  wakienda makanisani wanatoa mafundisho kuwa hata ndugu wakikutenga wakija majumbani wanaanzisha vurugu sisi tunakaa tukidhani mtu akiingia dini anabadilika kumbe viumbe wanakuwa wanatusumbua. Dini mtu akiingia siku moja anaingangania haelewi tunasema yesu kamgusa.

  yote haya ninayasema kwa sababu nimeyashuhudia,waliingia katika maisha yangu wakanitesa nikaenda kanisa la maombi huku nikiendelea kuwa mkatoliki. baadae wakanitesa tena lakini hapa wakasingizia vitu vingi huku wakija na kuzumza wenyewe wakijifanya ni vitu vya dini wakinitukana mara una ushirikina, wakafanya vurugu nyumbani ugomvi mara na huyu mara na yule, na wakawa wananiletea watu wa kuomba wa kila aina na baadae wakasema wewe kwanini hutaki kutumikishwa katika vitu usivyovijua? wakaanza kunitishia vitu mbali na kudai wewe umeishatujua hiyo ni hatari kwako.

  hawa mashetani tunaowasema ukweli wanauwezo wa kutesa mwili na kukontro mwili wako kwa kutumia misuli ya mwili wako mara wakuunguze mara wakutie kizunguzungu lakini uwezo wa kufanya maajabu kama tunavyofikiri hawana.

  wakiamua kuleta ugomvi unashangaa mtu anaongea mambo na kuyagangania kama anayajua.

  ukweli tunawasingizia ndugu na jamaa ugomvi lakini hawa viumbe ndio wachawi wetu. inawezekana zamani ndio hao walikuwa wanajifanya mizimu wanatoa maagizo ya ajabu.

  kumbuke katika biblia tumeambiwa sikuwa za mwisho watakuja wengi kwa jina langu lakini msiwaamini. na biblia ikaendelea mbele zaidi kusema wapo watakao sema mbona tulifanya miujiza kwa jina lako na yesu atasema siwajui.

  viumbe hawa wanatesa jamii msipende miujiza aminini katika maandiko na ukiona dhehebu watu wanapelekwa matatizo na wakifika wanakuwa wakereketwa kushinda wanatoa mapato mengi huku wakilaumu sehemu walizo toka walikotakiwa kuwa wanatoa kidogo wanagoma ujue kuna tatizo. viumbe wakiingia mwilini kwa binadamu wanaweza kumfanyisha vituko vingi hata kumzuia vitu usishangilie eti mtu kaenda kanisani kaacha pombe siku hiyo. kuna pepo limeingia ndani linaukontro mwili. wengi wachunguzeni kwenye familia kunakuwa na vituko na wao wanabadilika.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  ndio umenigia leo umebisha hodi?
  tutafuta topic ya mexence amezungumzia kwa kina juu hao watu kwa undani
   
 4. 1

  1973 RAJ MINJA Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Aug 28, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ANGALIA MOJA YA ISHARA WANAZOZITUMIA :rockon:
   
 5. DGMCHILO

  DGMCHILO Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wajinga ndio waliwao
  watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...