Kwa mnaofahamu hili...

SIMBA WA TARANGA

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
987
220
Naombeni mnisaidie katika hili, je? CCM ina-wakaguzi wa ndani (internal auditors)? Ina-mdhibiti na mhakiki mali za chama? ina-wahasibu qualified?

Hii ni kuanzia gazi ya chini kabisa hadi ngazi ya kitaifa. Na CDM, CUF, NCCR na vyama vyote kadharika.
 
Ngoja nipite tu hapa, wakija utawaambia wanaojua tu ndio wajibu swali.
 
NCCR-Mageuzi, licha ya kuwa tunao internal auditors, mara kwa mara tunapata pia huduma ya external auditors. Aidha chombo kikuu cha udhibiti wa mali za chama kinaitwa baraza la wadhamini wa chama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom