Television za majirani kuna nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Television za majirani kuna nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jungumawe, May 21, 2012.

 1. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mara nyingi naangalie Tv za majirani ie NTV,CITIZEN, KBC UBC etc mbona wao hawana habari za kitanzania kama sisi unavyojikomba kwao tuna matatizo gani? I hate this au nyie mnaona ni sawa, mimi ndiye mwenye tatizo?
   
 2. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,112
  Likes Received: 1,742
  Trophy Points: 280
  Sometimes huwa wanaonesha kama kuna suala serious, huku kwetu daily lazima habari zao ziwepo! Hasa ITV...
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  sISI TUMEJAZA SOGA NA ULIMBUKENI MTUPU, HAWANA CHA KUJIFUNZA TOKA KWETU
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mhh mkubwa saa unataka waonyeshe habari gani za tanzania?
  ITV jua ipo uganda pia kwa hivo news zao lazima ziguse uganda manake walipewa frequency kule
  kwa ntv au citzen hazina frequency hapa kwetu kwa hivo hawalazimiki kurusha habari za kwetu kama sio sensitive.
  sio kila habari ni habari.
   
 5. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ni kweli, kwa mfano walicover vizuri mabomu ya mbagala. Kibiashara kuna advantage zaidi kwetu ! Huitaji kuwa na
  hasira !
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  sasa wataonyesha nini?au jk anapoagwa kwenda kutalii usa?
   
 7. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Mbona itv huwa wanajiunga na bbc au skynews hushangai kenya wametuzidi mbali kimaendeleo ni kama kuonesha habari za ulaya tu kaka.
   
 8. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Daaaah ! Hii atameza kweli !
   
Loading...