Ajali ruvu: Basi linalotoka mbeya

mzeelapa

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
1,115
391
Kumetokea ajali maeneo ya Ruvu baada ya basi lililokuwa linatokea Mbeya linalojulikana kwa jina la Ilasi kugongana uso kwa uso na lorry lililobeba unga la Azam lililokuwa linatokea DSM. Inasemekana ajali hiyo imetokana na lori lililokuwa linajaribu kulipita basi hilo kutaka kugongana uso kwa uso la lori lililobeba unga ndipo lori lililobeba unga likaelekea upande lilipo basi. Mpaka sasa hakuna habari yo yote kuhusu vifo au majeruhi ila abiria wametapakaa unga kiasi cha kushindwa kutambuana.
 
mzeelapa!

Hivi unajua gari kugongana uso kwa uso kweli?
Hebu mfuatilie aliyekupatia news,halafu urudi tena.

Eti hakuna majeruhi?

Bila shaka watakuwa wamekwaruzana tu.
 
Liverpool FC

Nimesema hakuna habari yo yote kuhusu majeruhi au vifo, sikumaanisha hakuna majeruhi au vifo. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa abiria niliyemsindikiza mie mwenyewe Mbeya. Alinitaarifu akiwa kwenye taharuki au tuseme panic. Hivi sasa simpati nadhani simu yake imekwisha charge au vinginevyo. Kugongana uso kwa uso kunaweza kusiwe na madhara kama magari husika hayakuwa katika mwendo wa kasi. Tusubiri taarifa toka vyanzo vingine vya habari.
 
Kumetokea ajali maeneo ya Ruvu baada ya basi lililokuwa linatokea Mbeya linalojulikana kwa jina la Ilasi kugongana uso kwa uso na lorry lililobeba unga la Azam lililokuwa linatokea DSM. Inasemekana ajali hiyo imetokana na lori lililokuwa linajaribu kulipita basi hilo kutaka kugongana uso kwa uso la lori lililobeba unga ndipo lori lililobeba unga likaelekea upande lilipo basi. Mpaka sasa hakuna habari yo yote kuhusu vifo au majeruhi ila abiria wametapakaa unga kiasi cha kushindwa kutambuana.

asante kwa taaarifa
 
Itakuwa pasi tu hiyo. Daa magari ya Tunduma yanazidi kuisha baada ya kutoweka Hekima,Sumry
 
TUFUATILIE KWA KARIBU CHANZO CHA HABARI HIYO.
YAANI AMESHINDWA KURIPOTI NI KAMA KUNA WALIOKUFA KWELI UNGA UMEWAZINGIRA MPAKA KWA MACHO POLENI WALE WAANGA:hatari:
 
Kumetokea ajali maeneo ya Ruvu baada ya basi lililokuwa linatokea Mbeya linalojulikana kwa jina la Ilasi kugongana uso kwa uso na lorry lililobeba unga la Azam lililokuwa linatokea DSM. Inasemekana ajali hiyo imetokana na lori lililokuwa linajaribu kulipita basi hilo kutaka kugongana uso kwa uso la lori lililobeba unga ndipo lori lililobeba unga likaelekea upande lilipo basi. Mpaka sasa hakuna habari yo yote kuhusu vifo au majeruhi ila abiria wametapakaa unga kiasi cha kushindwa kutambuana.

Jamani, hizi ajali hadi lini? Inasikitisha sana. Traffic wako barabarani kwa ajili ya matumbo yao tui!!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom