Tbc

nover

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
235
174
jamani tbc1 inaelekea wap?, kipindi kile Tido Muhando hupo madarakani, vipindi vilikua vizur kwanzia vya burudani habari, michezo kama kuonesha mechi mbalimbali, lakini kwa sasa imepoteza mvuto!
 
hakuna TBC bali TBCCM1
angalia zingine hiyo wengi tulishaifuta ktk akili kama ipo
labda tuirudishe kuwa mali ya umma
 
Back
Top Bottom