Tanesco Tanesco hili ni kwa raia wote nani mwenye shirika hili jamani mbona hatufaidiki nalooooo????

Mboko

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
1,095
293
Leo nilisoma kwenye gazeti moja
Aibu gani hii jamani,yaani miaka 50 ya uhuru Shirika la umeme Tanesco bado wanawapatia wananchi 18%ya umeme tu tangu lianzishwe,ati wanasema ifikapo 2015 wananchi watapata 30% ya umeme mie nilifikiria watasema watawapatia wananchi 100% ya umeme.Lol!!!hapa hakuna kitu na hii yote inasababishwa na mfumo wa Serikali hii ya CCM kwani kila mtu anaingilia ndani ya shirika hili na hakuna wa kumnyamazisha ndio maana wao wananeemeka na sie tulio wengi na tunao wapigia debe kila kukicha ndio inakula kwetu.Jamani hapa hakuna haja ya kutafutana kwani all of us we know wapi tatizo so ni wakati wa kufanya mabadiliko yenye historia we need real change hebu tujaribu kutoa hii serikali ifikapo 2015 then tupate mfumo mpya wa serikali maake huu hautaweza kusaidia hata kama mawaziri na viongozi wengi watabadilishwa kila kukicha, it will be the same shiit day by day then mwisho wa yote tutasema dammm hii tosha na hapo sasa nchi itachafuka.Kwa nini mkurugenzi wa Tanesco anakuwa na Jenereta??ingetakiwa asiwe na Jenereta ili umeme ukikatika apate machungu kama raia wote tunavyotaabika lakini kwa kuwa kuna madeal pale na wakubwa serikalini waliamua kumpatia ili wwafanye madeal yao duuh hii nchi imeozaaaaaa..Nashangaa sana wananchi wanaoshabikia serikali hii.Mpaka wengine wanaamua kuandamana kumsifu Rais ati kwa kuunda baraza la mawaziri hapa hakuna haja kwani ndio kazi yake...
 
Muhongo kaingia wizarani anaogopa kuweka hadharani aliyoyakuta
Tafsiri ni kuwa nayeye ana weka mazingira ya kutowekwa hadharani baada ya kufisidi
 
Leo nilisoma kwenye gazeti moja
Aibu gani hii jamani,yaani miaka 50 ya uhuru Shirika la umeme Tanesco bado wanawapatia wananchi 18%ya umeme tu tangu lianzishwe,ati wanasema ifikapo 2015 wananchi watapata 30% ya umeme mie nilifikiria watasema watawapatia wananchi 100% ya umeme.Lol!!!hapa hakuna kitu na hii yote inasababishwa na mfumo wa Serikali hii ya CCM kwani kila mtu anaingilia ndani ya shirika hili na hakuna wa kumnyamazisha ndio maana wao wananeemeka na sie tulio wengi na tunao wapigia debe kila kukicha ndio inakula kwetu.Jamani hapa hakuna haja ya kutafutana kwani all of us we know wapi tatizo so ni wakati wa kufanya mabadiliko yenye historia we need real change hebu tujaribu kutoa hii serikali ifikapo 2015 then tupate mfumo mpya wa serikali maake huu hautaweza kusaidia hata kama mawaziri na viongozi wengi watabadilishwa kila kukicha, it will be the same shiit day by day then mwisho wa yote tutasema dammm hii tosha na hapo sasa nchi itachafuka.Kwa nini mkurugenzi wa Tanesco anakuwa na Jenereta??ingetakiwa asiwe na Jenereta ili umeme ukikatika apate machungu kama raia wote tunavyotaabika lakini kwa kuwa kuna madeal pale na wakubwa serikalini waliamua kumpatia ili wwafanye madeal yao duuh hii nchi imeozaaaaaa..Nashangaa sana wananchi wanaoshabikia serikali hii.Mpaka wengine wanaamua kuandamana kumsifu Rais ati kwa kuunda baraza la mawaziri hapa hakuna haja kwani ndio kazi yake...

Kaka sijasoma post yako nimepiti headline yake nataka nikuambie hakuna nchi hapa ni bora liende kamj mlevi aliyelewa sana bora afike kitandani aijalishi yupo vipi kama atafia hapo poa akiamka poa akin*ya poa vagaranti yani nchi ipo unshape akujulikani mbele wpi nyuma wapi kama sigara kali
 
Back
Top Bottom