MIGHT IS RIGHT; Hivi Wabunge hupigiwa saluti au wasiwasi wa Afande kwa Dogo Janja?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MIGHT IS RIGHT; Hivi Wabunge hupigiwa saluti au wasiwasi wa Afande kwa Dogo Janja??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiganyi, May 21, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Hukusikia hata S. Kanumba alipigiwa saluti.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dah siasa zina visa na mikasa!!!!
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahahahhaaa!!!
  Love this
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kiganyi taratibu sinasema mtu yoyote ambaye kwa namna moja au nyingine ana hadhi ya kupeperusha bendera ya taifa kwenye gari lake atapigiwa heshima ya saruti kama ni askar au ni mtu yeyote aliapa chini ya rais au kaapishwa na mtu mwingine kwa mamlaka ya rais atapewa saruti
  mgodi taratibu zinaeleza kwamba maiti yoyote ile iwe ya mtoto,mtu mzima,mwehu,mwizi,kiongozi lazima unapoaga au kukutana watu wamebeba maiti utapiga saluti.
  lakini pia yapo magari yanapigiwa saluti je wajua hilo?utayajuaje niulize ntakueleza.nawasilisha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Bajabiri hii ni kawaida kabisa usishangae
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. M

  Mzee Kabwanga Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Saluti hupigiwa viongozi wakuu wa kijeshi viongozi wakuu wa serikali na mtu yeyote anayeheshimiwa na anayepiga saluti.Hiyo ni salaam tuu ya kijeshi.
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tunaomba ufafanuzi zaidi mkuu
   
 9. M

  Mzee Kabwanga Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa kijeshi ni majeshi yetu yaani JWTZ POLISI MAGEREZA JESHI LA KUJENGA TAIFA kwa mujibu wa katiba ya nchi. Na viongozi wa juu wa serikali na mtu anayeshimiwa na mpiga saluti . Kama nilivyosema ni salaam ya kijeshi.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwan saluti c ni salamu 2 au?
   
 11. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  kuna Askari aliteseka sana na kesi, siku jaji alipomwachia huru, akafunga mguu, akapiga saluti !
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Si kakutana na Kamanda!!
   
 13. j

  jovitha mussa Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  WANAOPIGIWA SALUTE NI GOVERNMENT PRESIDENTIAL APPOINTEES KAMA DC, RC, JUDGE etc
   
 14. T

  The_Analyst JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 214
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mkuu..... ni SALUTI sio Saruti....ehee sema Saluti....
   
 15. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  saluti .....ha,ha,ha,ha,..,saruti...aya nimesahau tena....saluti,saluti
   
 16. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  endelea kutaja
   
Loading...